Thursday, 9 April 2015
On 21:38 by Unknown in MICHEZO No comments
Mkufunzi wa Chelsea Jose Mourinho anaamini kwamba taji la mchezaji bora duniani Ballon d'Or linafaa kuondolewa.
Mourinho anasema kuwa lengo la soka linabadilika kutoka timu za soka hadi kwa wachezaji binafsi.
''Tuanaangazia
mchezo wa mchezaji mmoja, pasi alizotoa na amekimbia kilomita ngapi
uwanjani.Pengine ulikimbia kilomita 11 na mimi nilikimbia kilomita
tisa,lakini kilomita zangu zilikuwa muhimu kushinda zako'',alisema
Mourinho.
Amesema kuwa Chelsea boss Jose Mourinho believes the Ballon d'Or should be scrapped.
Je,
unadhani FIFA inafaa kulifutilia mbali taji la mchezaji bora
duniani.Ingia katika mtandao wetu wa facebook katika bbcswahili uweke
maoni yako.
On 21:34 by Unknown in MICHEZO No comments
Shirikisho la mpira wa miguu duniani
(FIFA) limetoa viwango vipya vya soka duniani huku Tanzania na Rwanda
zikishuka kwa nchi za Afrika ya Mashariki wakati Kenya, Uganda na
Burundi zikipanda viwango.
Kushuka na kupanda kwa viwango
kunatokana na mechi za kirafiki za kimataifa za Fifa zilizofanyika mwezi
Machi , ambazo matokeo yake ni sehemu ya kigezo.
Tanzania, baada
ya kutoka droo ya 1-1 na timu ya Malawi katika moja ya mechi hizo za
kirafiki, imeshuka kutoka nafasi ya 100 mpaka ya 107 huku Rwanda
ikishuka nafasi 10 hadi ya 74 baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Zambia
cha magoli 2-0 mwezi Machi.
Uganda ndio nchi inayoongoza katika
Afrika ya Mashariki ikipanda nafasi mbili juu na kushika nafasi ya 72
baada ya kuwafunga Nigeria 1-0.
Burundi nayo imepanda kutoka nafasi ya 126 mpaka ya 123 mbali ya kutoka droo ya 2-2 na timu ya Mauritius.
Kenya
pia imepanda nafasi moja juu na sasa ipo ya 117 huku ikiwa na rekodi ya
kuifunga Shelisheli 2-0 katika mechi yake ya kirafiki.
Mbali na Afrika ya Mashariki, kiujumla kumekuwa na mabadiliko makubwa katika viwango hivyo vya mwezi April.
Miongoni
mwa nchi zilizopanda ni Belgium ikiwa ya tatu baada ya kupanda juu
nafasi moja kufuatia ushindi wake katika michuano ya Ulaya ya EUFA.
Brazil pia ni miongoni mwa nchi zilizopanda, ikiwa ya ya 5, ikipanda nafasi 1.
Nchi 10 bora katika viwango vya fifa ni
1. Ujerumani
2. Argentina
3. Belgium
4. Colombia
5. Brazil
6. Netherlands
7. Portugal
8. Uruguay
9. Swizerland
10. Uhispania
On 21:33 by Unknown in MICHEZO No comments
Ni
kusuka au kunyoa ambapo kitendawili cha timu gani itafuzu kucheza
fainali za michezo ya Afrika kwa upande wa soka la wanawake kati ya
wenyeji Twiga Stars au Shepolopolo ya Zambia kitatenguliwa pale timu
hizo zitakapokwaana katika mechi ya kufuzu Ijumaa jijini Dar es Salaam.
Kuelekea
katika mchezo huo, makocha wa timu zote wametambiana huku kocha
mwenyeji, Rogasian Kaijage wa Twiga Stars akijivunia kuwa uwanja wa
nyumbani ambapo robo tatu ya mashabiki watakuwa upande wake.
Kaijage na nahodha wake Sophia Mwasikili wamewaomba Watanzania kujitokeza kwa wingi uwanjani kuja kuwashangilia.
Kocha
wa Shepolopolo, Albert Kachinga, akiwa nyuma ya magoli 2-4 katika
mchezo wa kwanza uliochezwa mjini Lusaka, amesema amefanyia kazi makosa
yaliyosababishwa kufungwa na wana matumaini ya kushinda.
Zambia pia ina nafasi endapo itaifunga Stars kwa zaidi ya idadi ya magoli yale ya awali waliofungwa nchini mwao.
Mechi
inatarajiwa kuanza majira ya saa 10:30 jioni kwa saa za Afrika
Mashariki, na tiketi za mchezo zitauzwa saa chache kabla ya mechi eneo
la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, huku viingilio vya mchezo huo
vikiwa ni shilingi za Kitanzania 5000 (wastani wa dola3 za kimarekani)
kwa viti maalumu na shilingi 2000 (dola 1) kwa majukwaa yaliyobakia.
Twiga Stars ambayo katika
mchezo wa awali iliibuka na ushindi wa mabao 4-2, inahitaji sare ya aina
yoyote ili kuweza kufuzu kwa fainali za Michezo ya Afrika
zitakazofanyika nchini Congo-Brazzavile mwezi Septemba.
Rais wa
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania (TFF), Jamal Malinzi,
ameitakia kila la kheri timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania (Twiga Stars)
wakati wa chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili ya timu.
On 21:31 by Unknown in MICHEZO No comments
Licha
ya kupangwa katika kundi gumu na timu za Nigeria, Misri na Chad katika
michuano ya kuwania kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika 2017 nchini
Gabon, kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mdachi Mart Nooij amesema
timu yake haiziogopi timu hizo.
Ameongeza kuwa badala yake,
zitegemee pia upinzani mkali kutoka kwa Stars ambayo ana amini itakuwa
imejiandaa vema kwa ajili ya mashindano hayo ambapo kushinda, kufungwa
au kupata sare itakuwa ni sehemu ya matokeo.
Michuano ya Cosafa
itakayofanyika nchini Afrika ya Kusini siku chache zijazo itakuwa ni
sehemu ya maandalizi kwa Stars, kwa mujibu wa Nooij, ambaye anasema
Stars itahitajika kutoa ushindani mkubwa.
Taifa Stars itakuwa na kibarua kigumu katika kugombea nafasi mbili kwa ajili kwenda kucheza fainali.
Stars
imeshuka katika viwango vya FIFA vya mwezi April vilivyotolewa Alhamis
kutoka nafasi ya 100 mpaka nafasi ya 107 na kushuka huko kuna maanisha
Nooij atalazimika kufanya kazi ya ziada kupenya katika tundu la sindano.
Licha
ya kushuka nafasi nne katika viwango vya FIFA, Nigeria, sasa ikiwa
nafasi ya 45 ni miongoni mwa timu ngumu barani Afrika zikiwa na historia
ya kufuzu kucheza kombe la Mataifa ya Afrika na hata la Dunia, sambamba
na Misri, ambayo imepanda nafasi 7 katika viwango hivyo na kuwa nafasi
ya 51.
Katika kundi hilo, Chad ndiyo timu iliyo chini katika viwango hivyo, ikishuka nafasi 3 na kuwa nafasi ya 151
On 21:30 by Unknown in HABARI No comments
Jaji
mmoja na wakili ni miongoni mwa watu waliouawa baada ya mshukiwa mmoja
kuwafyatulia risasi ndani ya mahakama moja mjini Milan nchini Italia.
Maafisa
wa idara ya mahakama wanasema kuwa mshukiwa aliyefyatua risasi ni mtu
mmoja aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya kutangazwa kufilisika.
Mshukiwa huyo aliwapiga risasi
watu wawili ndani ya mahakama kabla ya kumshambulia jaji ambaye
angelisikiliza kesi yake ndani ya ofisi yake.
Mtu wa nne anaaminika kufariki kutokana na mshtuko wa moyo.
Mshukiwa huyo alikamatwa kaskazini mwa Milan akitoroka kwa pikipiki.
Haijulikani
jinsi mshukiwa huyo alivyoweza kuingia ndani ya mahakama hiyo huku
akiwa na bunduki, kwa kuwa wageni wote hupitia vifaa vya kuwakagua ikiwa
wana silaha.
On 21:27 by Unknown in HABARI No comments
Raia
wa Palestina wanasema kuwa wamekubali kushirikiana na serikali ya Syria
ili kujaribu kuwafurusha wapiganaji wa IS nje ya kambi moja ya
wakimbizi viungani mwa Damascus.
Tangazo hilo hilo lilifanywa na afisa mmoja wa serikali ya Palestina huko West Bank.
Wapiganaji
wa IS walitekeleza shambulizi katika kambi hiyo wiki iliopita na kuweza
kuiyumbisha kanbi hiyo licha ya pingamizi kutoka kwa jeshi la
Palestina.
Takriban wakimbizi elfu kumi na nane wanaishi katika kambi hiyo ambayo inakabiliwa upungufu mkubwa wa vitu muhimu.
On 21:26 by Unknown in SIASA No comments
Rais
wa Iran Hassan Rouhani, ametoa wito wa kusitishwa kwa mashambulio dhidi
ya wapiganaji wa Kihouthi nchini Yemen, akiyataja kama makosa makubwa.
Iran
pia imepinga madai ya Saudi Arabia kuwa utawala wa Tehran unawapa
wapiganaji hao wa Kihouthi ambao ni wa shia mafunzo ya Kijeshi.
Balozi
wa Saudi Arabi mjini Tehran, alishutishwa kufika mbele ya wizara ya
mambo ya nje ya Iran, kupokea rasmi malalamishi ya Iran.
Nchini
Yemen, Ndege za kivita za muungano unaongozwa na Saudi Arabia, zimefanya
mashambulio zaidi ya anga dhidi ya wapiganaji wa Houthi katika maeneo
ya Kaskazini, Kusini na kati kati mwa Yemen.
Wapiganaji hao wa
Houthi ambao wanapinga utawala wa rais Abd Rabbu Mansour Hadi,
wamechukua uthibiti wa maeneo kadhaa nchini humo katika miezi ya hivi
karibuni.
Akiongea mjini Tehran, rais Rouhani alitaja mashambulio hayo kama makosa makubwa.
Awali waziri wa mambo ya nje wa Marekani John kerry alionya Iran dhidi ya kuwaunga mkono wapiganaji hao wa Houthi.
Kerry aliyasema hayo baada ya Iran kutuma manuwari mbili za kijeshi katika eneo la Guba la Aden.
On 21:22 by Unknown in SIASA No comments
Akihubiri
siku ya Pasaka katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship lililopo
Mwenge katika Jiji la Dar-Es-Salaam, Askofu Mkuu Zachary Kakobe alisema
kwamba, inajulikana wazi kwamba Lowassa amekuwa anautaka Urais kwa udi
na uvumba kwa miaka mingi, hata mwaka 1995 alijitosa hadharani kuuwania,
sasa anapodai kwamba hivi sasa kuna makundi yanayokwenda kwake
kumshawishi agombee Urais, kana kwamba yeye hataki Urais, anakuwa
anamdanganya nani?
Ingawa katika mahubiri hayo ya saa mbili, Kakobe hakumtaja Lowassa kwa jina, hata hivyo Kakobe alisema, "Wako
watu wengine ambao inajulikana wazi kwamba wamekuwa wakiutaka Urais kwa
udi na uvumba, kwa miaka mingi, lakini hivi sasa wanasema kuna makundi
ya watu yanawafuata nyumbani, kuwashawishi kugombea Urais; kama vile
hawautaki Urais, hivi watu hawa wanamdanganya nani?
"Na
wale wanaokwenda kumshawishi mtu ambaye kwa miaka mingi, anajulikana
kwamba anautaka Urais, hawajui kwamba nao wanafanywa kuwa wajinga? Mtu
anayejulikana kwa muda mrefu kwamba anautaka Urais, ni vema akatangaza
tu moja kwa moja nia yake, bila haja ya ghiliba."
Katika
mahubiri yake yenye kichwa, "UPOTOSHAJI WA UKWELI", Kakobe alieleza
jinsi Gavana wa Kirumi, au liwali Pontio Pilato, alivyojiunga na
Viongozi wengine kupotosha ukweli wa kufufuka kwa Yesu, na kusema kwamba
wanafunzi wake waliuiba mwili wake, wakati askari walinzi walipokuwa
wamelala, na kuwadanganya watu, ingawa wao wenyewe waliujua ukweli.
"Pilato
aliwadanganya watu hao kwa muda tu, lakini hatimaye ukweli ulikuwa
dhahiri, walipomwona Yesu kati yao kwa muda wa siku 40. Unaweza
kuwadanganya watu kwa muda tu, lakini hatimaye ukweli hudhihirika, na
kumfedhehesha yule aliyeupotosha ukweli huo", alisema.
Aliendelea
kusema kuwa, hata leo kuna upotoshaji wa kweli mbalimbali za kiroho na
kimwili. Baada ya kuelezea juu ya baadhi ya kweli za kiroho
zilizopotoshwa, aliwageukia wanasiasa waongo, akianza kwa kutoa mfano wa
Waziri wa Habari wa Iraq, wakati wa vita ya mwaka 2003, Muhammad Saeed
al-Sahhaf, aliyekuwa akipotosha ukweli kuhusu jinsi Iraq ilivyokuwa
inapigwa vibaya katika vita hivyo, na akaendelea kusema;
"Kabla
sijaendelea, nifafanue kwanza juu ya watu wanaopotosha ukweli, kwa
kusema kwamba eti Wachungaji hawapaswi kuwakemea wanasiasa
wananapopotoka. Watu hawa hawajui Biblia. Katika MAMBO YA WALAWI
4:22-23, Biblia inasema, Mtawala akifanya dhambi, inampasa Kuhani yaani
Mchungaji, kumjulisha dhambi yake."
Kakobe
aliendelea kusema kwamba huu ni mwaka wa Uchaguzi, hivyo Watanzania
wawe makini na wanasiasa waongo wanaofanya uongo kuwa sehemu ya siasa
zao.
"Siasa,
ni Sayansi, inaitwa POLITICAL SCIENCE, na "any kind of science only
deals with facts". Wanasiasa hawana budi kuwa wakweli kwa kuwa siasa ni
sayansi.
"Siasa
siyo mchezo mchafu, bali baadhi ya wanasiasa ndiyo wachafu.
Msidanganywe tena na wanasiasa ambao watakuja kwenu mwaka huu na ahadi
za uongo za kuibadili miji na kuifanya kuwa kama New York, kwa miaka
mitano; na wengine hawana AIBU, wanaweza hata kuwaambia wakazi wa Dodoma
kwamba watawaletea meli! Hamna budi kuyachunguza kwa makini maneno yao,
na kuona kama ni ya kweli."
Kuhusu
Katiba, Kakobe aliwaunga mkono Maaskofu waliowapa Wakristo maelekezo ya
kuikataa Katiba Pendekezwa, katika Kura ya Maoni, na kusema kwamba hiyo
ndiyo kazi ya Mchungaji.
"Mchungaji,
pia ni Mwalimu, kazi yake ni kuchunga na pia kulisha kondoo (YOHANA
21:15-17), na Biblia inafafanua juu ya kazi ya Mwalimu katika ISAYA
30:20-21, ikieleza kwamba Mwalimu anatakiwa kuwaambia anaowaongoza,
"Njia ni hii ifuateni, wageukapo kwenda kulia au kushoto".
Aliendelea kusema, "Kumekuwa
na udanganyifu au upotoshaji wa ukweli kuhusu Katiba, tangu katika
hatua za mwanzo kabisa za mchakato wa Katiba, ambapo Chama kimoja cha
siasa, kiliwapachika makada wake katika vikundi mbalimbali, ili kiwe na
wajumbe wengi.
"Kwa
mfano Kingunge Ngombale Mwiru aliwawakilisha waganga wa kienyeji,
lakini cha ajabu, ukienda kwake hata leo, hakuna kibao kwake
kinachozitambulisha kazi zake za uganga wa kienyeji, kama ilivyo kwa
waganga wengine! Siyo hilo tu, kote duniani, Katiba yoyote ya nchi,
lazima itokane na muafaka wa Kitaifa, ili Katiba hiyo iwe na sifa ya
kusomeka katika Utangulizi wake, "SISI WANANCHI".
"Hapa
kwetu, watawala hawakutaka kabisa muafaka katika kutengeneza Katiba
yetu, lakini wanadai eti, Katiba Pendekezwa, ni bora kuliko zote Afrika!
Huu ni upotoshaji wa ukweli, wa hali ya juu sana."
Aliendelea
kusema kwamba, Sheria ya Mabadiliko ya Katiba na Sheria ya Kura ya
Maoni, hazikuzingatiwa kikamilifu katika mchakato huo uliojaa
udanganyifu.
"Sheria
ya Kura ya Maoni, Ibara ya 5(3), inasema kwamba kungetakiwa kuwepo na
elimu kwa wapiga kura, kwa siku 60, mara tu baada ya Tangazo la Katiba
Pendekezwa katika Gazeti la Serikali Na. 382 lililotolewa tarehe
10.10.2014, lakini elimu hiyo iliyopaswa kutolewa na Tume ya Uchaguzi,
haijafanyika hadi hivi leo!
V"ilevile,
Sheria ya Kura ya Maoni Ibara ya 4(3) na 4(4), inasema kwamba
kungetakiwa kutangazwa katika Gazeti la Serikali, SWALI LA KURA YA
MAONI, ambalo wananchi wangelijibu kwa jibu la NDIYO au HAPANA, na pia
Sheria ya Kura ya Maoni Ibara ya 12(1) na 12(2) na Ibara ya 16(1)
inasema kwamba, kungetakiwa kuwepo na Kamati mbili za Kura ya Maoni,
Kamati moja ya NDIYO, na nyingine ya HAPANA, ambazo zingejumuisha
wananchi wenye misimamo tofauti kutoka katika makundi mbalimbali katika
jamii, na Kamati hizo zingepiga kampeni kwa siku 30.
"Yote
haya hayakuzingatiwa, lakini kinyume chake, Watawala hadi hivi leo,
hawataki hata kusikia watu wakisema HAPANA kwa Kura ya Maoni, na wakati
huohuo, wengine bado wanataka Kura ya Maoni ifanyike Aprili 30, pamoja
na kwamba imetangazwa na Tume ya Uchaguzi, kwamba imeahirishwa!
"Wachungaji
wengine wenye njaa, wanathubutu kusema kwamba eti kwa sababu kwenye
Katiba Pendekezwa kuna Uhuru wa kuabudu, basi sisi Wachungaji tukae
kimya, mengine hayatuhusu, hawa wana njaa kali, na upeo mdogo wa uelewa
wa mambo haya.
"Mimi
sina njaa, na ninasema kwa msisitizo, Katiba ni zaidi ya Uhuru wa
kuabudu. Ilikuwa rahisi kwa Pilato kuwadanganya watu wa nyakati hizo,
lakini leo ni kazi sana kuwadanganya watu wanaopata maarifa na habari
juu ya yote yanayofanyika kote duniani, kwa TV, Redio, Magazeti,
Intaneti na Mitandao ya kijamii.
"Watu
wanajua kwamba kote ulimwenguni, Katiba ya Wananchi hutokana na
muafaka, na Kura ya Maoni, hufanyika baada ya Kampeni ya NDIYO na
HAPANA, kama ilivyofanyika Kenya ambako waliosema NDIYO waliitwa kundi
la NDIZI, na waliosema HAPANA waliitwa kundi la CHUNGWA.
"Waliowaambia
Wakristo wapige kura ya HAPANA kwenye Kura ya Maoni, ninawapa asilimia
90, hata hivyo kwa unyenyekevu, mimi ninaomba kuhitilafiana nao, kwa
kuongeza kwamba Kura ya Maoni inapaswa kususiwa kabisa, kwa sababu
kushiriki katika Kura hiyo, ni kuuhalalisha udanganyifu wa Watawala
hawa, na kujifedhehesha mwishoni.
"Tangu
mwanzo, watu hawa walitumia ubabe na wizi wa kura wa dhahiri katika
Bunge la Katiba, na kutangaza kura feki za NDIYO za mahujaji na wajumbe
wengine ambao hawakuwepo ukumbini wakati wa kupiga kura, na pia kura za
Wazanzibari feki, na hivyo kupitisha kwa lazima, Katiba Pendekezwa.
"Wamedhamiria
kufanya hivyohivyo hata katika Kura ya Maoni, ili kuipitisha kwa lazima
Katiba yao Pendekezwa; ukizingatia kwamba, ili kutimiza kusudi hilo,
wameweka sheria mbaya kwa makusudi ya kuhalalisha udanganyifu.
"Kwa
mfano Sheria ya Kura ya Maoni Ibara ya 34(2), inahalalisha wapiga kura
walioandikishwa Tanzania Bara, kwenda kupiga kupiga Kura ya Maoni, huko
Zanzibar. Katika mazingira haya, Kura za HAPANA zitasaidia nini? Ni
kuhalalisha tu udanganyifu wao, na kujifedhehesha.
"Mwandishi Mkuu wa Katiba Pendekezwa, yeye mwenyewe amesema anapenda aitwe JOKA LA MAKENGEZA! Niliposikia juu ya Jina lake hili, nilipigwa na butwaa!
Katika Biblia, Joka ni Ibilisi au Shetani (UFUNUO
12:7-9; 20:1-2), maana yake ni kwamba Mwandishi Mkuu wa Katiba
Pendekezwa, ni Joka yaani Shetani, na hivyo tunaweza kusema Katiba hiyo
ni ya Kishetani, maana imetokana na Shetani ambaye ni Joka lililoko
kuzimu!
"Kumbe basi, siyo tu kwamba Katiba Pendekezwa imeahirishwa, ila ni kwamba Mungu ameikataa tangu siku ya kwanza ya mchakato wake!
"Kwa
sasa tuwaze tu kujiandikisha kwa wingi katika Uandikishaji wa Wapiga
Kura, kwa BVR, na kuwa tayari tu kwa Uchaguzi Mkuu, na kuisahau kabisa
Kura ya Maoni."
On 21:19 by Unknown in HABARI No comments
Je unataka Kuwa Mrembo na Muonekano wa Kupendeza kwa Kuongeza Hips,
Makalio, Mapaja, Kurefusha Nywele, Kupunguza Unene na Kuondoa Tumbo? Basi African Beauty Products Wanakuletea Hii:
Kabla ya Kutumia Dawa na Baada ya Kutumia Dawa zetu |
1.Kuongeza Hips Makalio na Mapaja 100,000/
2.Kunenepesha Miguu iwe chupa ya Bia 70,000/
3.Kuwa Mnene Mwili Mzima 80,000/
4.Kupunguza Tumbo na Nyama Uzembe 80,000/
5.Kupunguza ama Kuongeza Maziwa 60,000/
6.Kuwa Mweupe na Soft Mwili Mzima 100,000/
7.Kuondoa Chunusi na Madoa 60,000/
8.Kuondoa Michirizi na Mabaka 70,000/
9.Kupunguza Unene Mwili Mzima 80,000/
10.Kuongeza urefu na unene wa Uume 90,000/
Bidhaa Zetu ni Uhakika Matokeo Ndani ya Week Moja..
Tuwasiliane kwa Simu Namba:
0756697906 ,0716805391 au 0783300397
Kwa watu wa Dar es Salaam Utaletewa Popote Ulipo ..Kwa Watu wa Mikoani tunatuma kwa Basi
2.Kunenepesha Miguu iwe chupa ya Bia 70,000/
3.Kuwa Mnene Mwili Mzima 80,000/
4.Kupunguza Tumbo na Nyama Uzembe 80,000/
5.Kupunguza ama Kuongeza Maziwa 60,000/
6.Kuwa Mweupe na Soft Mwili Mzima 100,000/
7.Kuondoa Chunusi na Madoa 60,000/
8.Kuondoa Michirizi na Mabaka 70,000/
9.Kupunguza Unene Mwili Mzima 80,000/
10.Kuongeza urefu na unene wa Uume 90,000/
Bidhaa Zetu ni Uhakika Matokeo Ndani ya Week Moja..
Tuwasiliane kwa Simu Namba:
0756697906 ,0716805391 au 0783300397
Kwa watu wa Dar es Salaam Utaletewa Popote Ulipo ..Kwa Watu wa Mikoani tunatuma kwa Basi
On 21:17 by Unknown in SIASA No comments
Kiongozi wa Chama cha ACT - Wazalendo, Zitto Kabwe amesema zaidi
ya wabunge 50 wa vyama mbalimbali vya siasa nchini watajiunga na chama
hicho kipya na kugombea ubunge katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba mwaka huu.
Zitto
ambaye alijivua ubunge wa Kigoma Kaskazini baada ya kufukuzwa uanachama
wa Chadema, amebainisha kuwa wabunge hao, wakiwamo wa CCM na Chadema,
ni miongoni mwa watu wanaokichangia fedha chama hicho kilichopata
usajili wa kudumu Mei, mwaka jana na kuzinduliwa mwezi uliopita.
Pia,
amewatangazia vita wabunge wa majimbo manane ya Mkoa wa Kigoma,
akijigamba kuwa ili waweze kuibuka na ushindi katika uchaguzi huo ni
lazima wakubali kujiunga na ACT kwa kuwa chama hicho kimejipanga
kuyabeba majimbo yote.
Akizungumza na Gazeti la
Mwananchi jijini Dar es Salaam, Zitto alisema
ACT ni chama kilichojipanga na ndiyo maana haikuwa ajabu katika mkutano
wake mkuu wa hivi karibuni kuhudhuriwa na wanachama zaidi ya 400 na
kufanya uzinduzi wa aina yake, huku akisisitiza kuwa chama hicho
kinaungwa mkono na watu wengi.
“Tuna wagombea ubunge
wengi wakiwamo wabunge wa sasa ambao katika Uchaguzi Mkuu Oktoba
hawatagombea kupitia vyama vyao vya sasa. Wapo ambao hawatakwenda hata
katika kura za maoni za vyama vyao na wameshafanya uamuzi,” alisema.
Huku
akizungumza kwa kujiamini, Zitto alisema wabunge hao ndiyo sababu ya
chama hicho kuwa na uwezo wa kujiendesha na kufafanua kuwa ACT
kinawakaribisha wabunge na makada wote kutoka vyama vya Chadema na CCM.
“Wale
ambao wanabanwa CCM na kukosa uhuru wa kuhoji jambo lolote hiki (ACT)
ndicho chama chao. Wale ambao wanaamini kuwa aina za siasa tulizotaka
kuzifanya ndani ya Chadema tukashindwa kuzifanya na wanadhani ni siasa
muhimu zinazotakiwa, wapo na sisi,” alisema.
Kuhusu Kigoma
“Nahitaji
majimbo yote ya Kigoma kuchukuliwa na ACT bila kukosa hata moja na hili
hata Serukamba (Mbunge wa Kigoma Mjini-CCM) analijua. Mwanasiasa
anayetaka kuwa mbunge Kigoma lazima aje ACT,” alisema Zitto ambaye pia
alirejea kauli yake kuwa atagombea ubunge katika jimbo jingine lakini
siyo Kigoma Kaskazini.
Kauli hiyo ya Zitto inawagusa
wabunge wa sasa wa majimbo ya Kigoma ambao ni; Felix Mkosamali
(Muhambwe), Moses Machali (Kasulu Mjini), Agripina Buyogela (Kasulu
Vijijini) na David Kafulila (Kigoma Kusini), wote wa NCCR-Mageuzi na
Peter Serukamba (Kigoma Mjini, Christopher Chiza (Buyungu) na Albert
Obama (Manyovu) wa CCM.
Alipoulizwa iwapo wabunge hao
wa majimbo ya mkoa huo ni miongoni mwa watu watakaohamia chama hicho
alisema, “Sasa huo ni mtizamo wenu. Ukiwa mwanasiasa lazima uwe na
msingi, nataka msingi uwe Kigoma.
"Tutakutana tena
kwenye chumba hiki (cha mikutano) baadaye mwezi Novemba ili mnisute kwa
kauli yangu na hapo itakuwa baada ya matokeo kutoka. Nahitaji kushinda
kila kitu."
On 21:13 by Unknown in SOCCER No comments
Jose Mourinho admits he is trying to be more like Sir Alex Ferguson.
The Chelsea boss has revealed his admiration for the retired Manchester United manager.
Mourinho says that dates back to when his Porto side knocked United out of the Champions League in 2004.
Costinha’s last minute goal prompted his now infamous knee-slide at Old Trafford.
But Mourinho says Ferguson’s grace in defeat has stayed with him ever since.
“That was when I felt the two faces of such a big man,” he
said in an interview with the Telegraph. “The first face was the
competitor, the man that tried everything to win.
“And after that
I found the man with principles, with the respect for the opponent,
with the fair play – I found these two faces in that period, and that
was very important for me.
“In my culture, the Portuguese and the Latin culture, we don’t have that culture of the second face.
“We are in football to win and when we don’t there is not a second face most of the time.
“But when we beat United in the Champions League I got that beautiful face of a manager which I try to have myself. I try.”
Mourinho was considered by many United fans to be the ideal successor to Ferguson when the Scot retired in 2013.
But United’s board - under the recommendation of Ferguson - opted to appoint David Moyes and hand him a six-year contract.
He
lasted just nine months and was replaced by Louis van Gaal last summer,
while Mourinho now looks set to lead Chelsea to the title for the first
time since 2010
On 21:10 by Unknown in SOCCER No comments
Di Maria made a positive impact against Aston Villa
Does Di Maria return?
Ashley Young's combination with Daley Blind has been influential for
United recently, and the winger's return to the side sparked The Reds'
five-game Premier League winning run.
Young's crossing on Saturday, though, was erratic and however
maddening Angel di Maria has performed he is a reliable assister, as he
proved with the cross for Wayne Rooney's half-volley.
Di Maria not only created United's winner but injected dynamism into
their attack and galvanised Rooney, poor until his spectacular strike.
The derby could be a turning point for the Argentine.
Will United continue their fast starts?
Bizarrely, of the last three Old Trafford derby defeats United's best
performance came in the 6-1. A result skewed by Jonny Evans' slip, his
red card and defensive indiscipline in the last 10 minutes, United
actually began the game brightly, with Young causing Micah Richards
plenty of concern.
In recent weeks, United have become more watchable thanks to their
front-foot starts. They scored in the opening 10 minutes against
Tottenham, the first 15 at Anfield and should have struck earlier than
they did against Aston Villa.
Who starts at centre-back?
Chris Smalling's rotten luck with injuries continued as he was
deprived of a start against Aston Villa to allow Marcos Rojo back into
the side.
United's improved defensive record coincided with Phil Jones' return
to the first-team, yet Smalling has shone at centre-back and must be
desperate to atone for his derby red card in November.
Finally, Louis van Gaal has a positive defensive headache.
Can United end their Kompany hex?
The last time City lost to United with Vincent Kompany on the pitch
came way back when Rooney executed that scarcely believable bicycle kick
up at the Scoreboard End in 2011.
City boast plenty of derby bogeymen. Yaya Toure has scored four
against United, Edin Dzeko five and Sergio Aguero six, however Kompany
has proved to be a defensive pest who relishes his duels with Rooney,
despite the No.10'slscoring prowess against City.
This could be The Blues' greatest side's last hurrah and it is perhaps about time United belatedly dominated them.
De Gea to stop mini rot?
Indisputably United's player of the season, David de Gea has,
however, been culpable for the last two goals they have conceded that
have suddenly offered helpless opponents hope.
The Spaniard was at fault for Preston's opener in the February FA Cup
tie, too, however De Gea has overwhelmed all and sundry with his
magnificence this campaign that his errors have attracted little
attention, unlike three seasons ago.
His mistakes have not cost United points yet, either, yet for the first time this term he is experiencing a slight wobble.
On 20:53 by Unknown in SOCCER No comments
Alves joined Barcelona in 2008
Manchester United continue to be linked with Barcelona right-back Dani Alves despite their interest in Southampton's Nathaniel Clyne.
Alves, 31, is out of contract in the summer whereas Clyne is 24 and has two-and-a-half years worth of Premier League experience.
Brazil
full-back Alves, while an asset in attack, has often been suspect in
defence and he was dropped during the World Cup in favour of City reject
Maicon.
Clyne
is also being monitored by Chelsea, although the relentless Branislav
Ivanovic is only 31 and has shown no signs of letting up this season.
Chelsea could also hijack United's bid for Mats Hummels, although they might be late after it was claimed The Reds had agreed a deal with Borussia Dortmund earlier this year.
Monday, 6 April 2015
On 05:26 by Unknown in HABARI No comments
Lori la
Mizigo lenye namba za usajili T 255 CRN na lililokuwa na Tela lenye
namba za usajili T 478 BCG likiwa limefunga njia baada ya kufeli breki
lilipo kuwa kwenye njia kubwa katika eneo la Mbezi Mwisho, Jijini Dar es
salaam. Kwa mujibu wa Dereva wa Lori hilo aliejitambulisha kwa jina
moja la Bw. Sendegwa, alisema kuwa alianza safari yake ya kutoka Mkoani
Singida akiwa vizuri kabisa na alipofika maendeo ya Kibamba alihisi gari
yake kupoteza upepo lakini kwa wakati huo alikuwa
kwenye mwendo mdogo tayari na alianza kujarubu kutafuta namna ya
kusimama lakini hakufanikiwa, na alipofika maeneo ya Mbezi aliona sehemu
ya kuchepuka ambayo aliona ni salama kwa upande wake na ndipo alipoamua
hivyo na huko alikutana na Gari dogo aina ya Toyota Prado lenye namba
za usajili T 902 DCS ambapo alilipiga pasi ubavuni na kwenda kukita
kwenye baraza la moja ya nyumba zilizokuwepo kwenye eneo hilo.
Hakuna aliejeruhiwa wala kupoteza maisha kwenye ajali hiyo.
Lori hilo linavyoonekana baada ya kufeli breki na kuja kusimama hapo.
Muonekano wa Prado hiyo baada ya kupigwa pasi na Lori hilo.
Dereva wa Prado hiyo (jina kapuni) akijadiliana jambo na utingo wa Lori hilo.
Mashuhuda wakiangalia namna Prado hiyo ilivyopigwa pasi.
Neno la Leo lililoandikwa kwenye Lori hilo.
Mashuhuda wakihadithiana namna mambo yalivyokuwa.
Hapa ndipo Lori hilo lilipogota.
On 05:24 by Unknown in WASANII No comments
Msanii
wa filamu Bongo, Fatuma Ayubu ‘Bozi’ amesema kuwa migogoro yote
inayomtokea aliyewahi kuwa mwandani wake, Emmanuel Elibariki ‘Nay’ ni
kutokana na laana ya kumsambazia picha zake za utupu.
Akiongea na mwandishi wetu, Bozi alisema tatizo kubwa lililomkuta Nay kwa mpenzi wake Siwema kumfumania na njemba ni malipo ya kupuuza penzi lake na dhambi kubwa aliyomtendea ya kusambaza picha zake za utupu alizomtumia wakati walipokuwa kwenye uhusiano.
“Nilimpenda mno Nay lakini fadhila ya penzi langu akaona anidhalilishe kwa kuanika picha zangu za utupu kwenye mitandao ya kijamii, jambo linalonisononesha mpaka kesho, naamini yaliyomtokea ni laana yangu anayotembea nayo kwani bado sijamsamehe kwa kitendo kile cha ajabu alichonifanyia,” alisema Bozi.
On 05:23 by Unknown in HABARI No comments
Matukio
ya ukatili dhidi ya walemavu wa ngozi, vikongwe na watu wa makundi
mengine ya kijamii nchini, yametajwa kuchangiwa kwa kiasi kikubwa na
hofu na kutojiamini kwa baadhi ya watu, hivyo kujikuta wakitumia nguvu
za ziada kutaka kufanikisha mambo yao, badala ya kumtegemea Mungu.
Hayo
yamebainishwa kwenye Ibada ya Sikukuu ya Pasaka katika Kanisa la
Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Usharika wa Azania Front na Mkuu
wa kanisa hilo, Askofu Dk Alex Malasusa.
Alisema
hofu na kukosa uhakika ni chanzo kikubwa cha dhambi jambo ambalo
linawafanya watu kuingia katika matendo ya ushirikina na mauaji ya
binadamu wenzao.
“Watu
wengi wamekuwa wakishiriki ushirikina na si kwamba wanapenda
ushirikina, hawapendi, lakini wamejawa na hofu na hawana uhakika na ndio
chanzo cha dhambi. Kumekuwapo na matukio mengi ya ushirikina ambayo si
kawaida kwa binadamu aliyeumbwa na akili akayatenda."
Malasusa aliongeza: “Haijalishi
umesoma kiasi gani, leo hii imethibitika wasomi wengi wameingia kwenye
ushirikina, haijalishi una hali gani ya kiuchumi, wafanyabiashara wengi
wamejiingiza kwenye ushirikina, haijalishi unapenda ibada kiasi gani,
imethibitika tunaoingia na kutoka ibadani bado tunashiriki ushirikina.
“Ndio
maana tunasikia matendo ya kusikitisha ya binadamu kwenda kuua binadamu
wenzao kama albino, vikongwe kutokana na kujawa na hofu, eti wanaamini
kwa kuua albino watapata fedha au mafanikio kwenye uchaguzi, huo ni uovu
na akili za kishetani. Yesu aliyefufuka ndio atakayekupa mafanikio.”
On 05:21 by Unknown in MAPENZI No comments
Wakati
wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za
kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mtu yeye
alijikuta akiiserebukia kwa fumanizi gesti, tena akiwa na mume wa mtu!
Tukio
hilo lilijiri Alhamisi Kuu maeneo Buza jijini Dar, mishale ya saa 7:00
usiku huku jamii ikiwa katika harakati za kununua hiki na kile kwa ajili
ya Sikukuu ya Pasaka iliyoadhimishwa duniani kote jana huku leo ikiwa
ni Jumatatu ya Pasaka.
Katika
fumanizi hilo, timbwili la aina yake liliibuka baada ya mwanamke huyo
mwenye mwili mkubwa, kuponyoka mikononi mwa mke aliyemnasa na kutoka
nduki nje akiwa mtupu bila kujali hali hiyo.
Awali,
ilidaiwa kuwa mume huyo wa mtu aliyefahamika kwa jina la baba Somoe,
mkazi wa Kongowe (nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam) alimchepuka mke
wake (mama Somoe) na kuanzisha uhusiano na mwanamke huyo.
Chanzo
kikazidi kudai kwamba mkewe huyo alianza kutilia shaka mwenendo wa
mumewe kutokana na kubadili tabia, hasa za kuwa beneti na simu hivyo
alianza kumfuatilia kwa karibu.
“Katika
kumfuatilia, siku moja akabaini meseji. Akamuuliza mumewe kuhusu meseji
hiyo naye akawayawaya bila kuwa na majibu sahihi,”kilisema chanzo hicho.
Habari
zaidi zilisema kuwa kutokana na ukweli kwamba, ndani ya nyumba yao,
mama Somoe ndiyo kajaliwa uwezo wa kumiliki fedha, alimpa masharti
mumewe kwamba achague mawili, watengane na aondoke na begi lake la nguo
au atoe ushirikiano, ‘mwizi’ huyo anaswe.
“Mume akasema cha kufia! Akakubali kutoa ushirikiano ili mchepuko wake afumaniwe,” kilidai chanzo chetu.
On 05:20 by Unknown in HABARI No comments
Askofu
wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Josephat Gwajima jana alihubiri akiwa
katika kiti cha magurudumu na kusema hawezi kuwatupa Mbunge wa Monduli
(CCM), Edward Lowassa na Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kwa
kuwa ni marafiki zake wa siku nyingi.
Pia
askofu huyo, amewataka waumini wote wa kanisa hilo kufika katika Kituo
Kikuu cha Polisi, Alhamisi ijayo siku ambayo atakwenda kukamilisha
mahojiano dhidi ya tuhuma za kumtukana Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar
es Salaam, Polycarp Kardinali Pengo.
Akihubiri
mamia ya waumini waliofika kanisani hapo kwa ajili ya ibada ya Pasaka
jana, Gwajima alisema kumekuwa na uvumi kwamba kuhojiwa kwake na polisi
kulitokana na kuwakaribisha wanasiasa hao kanisani kwake kwa nyakati
tofauti na kuzungumza na waumini wake.
Alisema
alifahamiana na Lowassa tangu mwaka 1996 wakati huo mbunge huyo akiwa
Waziri wa Ardhi na tangu kipindi hicho amekuwa mtu wake wa karibu.
Alisema
alifahamiana na Dk Slaa tangu mwaka 1994 kabla hajagombea nafasi ya
urais kupitia Chadema na kwamba tangu wakati huo amekuwa rafiki wa
familia.
“Hawawezi
kunichagulia marafiki, hawa ni watu wangu wa karibu hata kabla hawajawa
na ndoto za kugombea urais, nitaendelea kuwa nao karibu,” alisema.
Asimulia mahojiano
Akizungumzia
mahojiano yake na polisi, Gwajima aliwaeleza waumini wake kwamba mambo
mengi aliyohojiwa hayakuhusiana na suala la kumkashifu Kardinali Pengo.
“Polisi
walinihoji mambo mengi binafsi yanayonihusu mimi na hayakuhusiana
kabisa na Pengo, maswali ya Pengo yalikuwa machache sana,” alisema.
Hata
hivyo, Gwajima alisema hana ugomvi na polisi wala Serikali kwa kuwa
amekuwa akitoa ushirikiano kwa vyombo hivyo. Akitoa mfano, alisema
Februari mwaka huu alipeleka barua polisi kueleza anataka kudhamini
kampeni kwa ajili ya kupinga mauaji ya albino kwa kushirikiana na jeshi
hilo.
“Niliwaeleza
kwamba tungezunguka na polisi mikoa yote Tanzania na wamenijibu kwamba
nipeleke ratiba ya shughuli hiyo ili tuanze,” alisema.
Alisema pia alidhamini mafunzo ya ulinzi shirikishi kwa vijana 400 kwa kushirikiana na polisi... “Shughuli
hizi zinaonyesha kwamba sina ugomvi na polisi, bali nimekuwa rafiki kwa
kushiriki katika shughuli zenye masilahi kwa Taifa.”
Viongozi wamiminika
Alisema pia hana ugomvi na Serikali na kwamba viongozi wake wamekuwa wakimiminika katika kanisa lake.
Aliwataja
viongozi hao kuwa ni Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, Waziri wa
Uchukuzi, Samuel Sitta, Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi,
William Lukuvi na Waziri wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Dk Harrison
Mwakyembe.
Viongozi
wengine, alisema ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nauye,
Mbunge wa Kawe (Chadema), Halima Mdee na wabunge wa Viti Maalumu, Dk
Mary Mwanjelwa na Vicky Kamata wote wa CCM
“Kama ningekuwa na ugomvi na Serikali viongozi hawa wasingekuja katika kanisa langu kwa nyakati tofauti. Hii inaonyesha nilivyo na uhusiano mzuri na Serikali,” alisema.
“Kama ningekuwa na ugomvi na Serikali viongozi hawa wasingekuja katika kanisa langu kwa nyakati tofauti. Hii inaonyesha nilivyo na uhusiano mzuri na Serikali,” alisema.
Alhamisi ijayo
Askofu Gwajima amewataka waumini wake kumsindikiza katika Kituo cha Polisi siku ambayo atahojiwa kwa mara nyingine. “Nitakwenda
Central Police Alhamisi saa moja asubuhi, nawaomba waumini wote mfike
katika eneo hilo lakini msilete fujo wala kumtukana mtu, kuweni watulivu
wakati wote nitakapokuwa nahojiwa,” alisema.
Askofu huyo alitakiwa kuhojiwa Alhamisi iliyopita lakini polisi waliahirisha kutokana na hali yake kutokuwa ya kuridhisha.
Hata
hivyo, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Suleiman Kova
alisema Jeshi la Polisi halitaruhusu mkusanyiko wa watu katika eneo hilo
wakati Askofu Gwajima atakapohojiwa.
“Atatakiwa
kufika na wakili wake na mtu mmoja ambaye ataona anafaa kuingia naye
kwenye mahojiano. Kama kuna waumini wanajiandaa kukusanyika katika ofisi
zetu hapa Central Polisi, wafahamu kwamba haturuhusu na wakikaidi
tutachukua hatua.”
Ilivyokuwa kanisani
Gwajima
alifika katika kanisa hilo lililopo kwenye viwanja vya Tanganyika
Packers Kawe saa 5.00 asubuhi na kupokewa kwa shangwe na waumini
walioanza kufika tangu saa 2.00 asubuhi.
Msafara
wa magari matatu; Toyota Land Cruiser mbili na Hammer, yaliwasili
kwenye viwanja vya kanisa hilo na kulakiwa na waumini walioyazingira kwa
shangwe na vigelegele wakitaka kumwona Askofu Gwajima.
Waumini hao walikuwa na shauku ya kumwona Gwajima na walionekana wakisukumana ovyo kila mmoja akitaka kumwona.
Akiwa
amevaa suti ya rangi ya kijivu na shati jekundu, Gwajima aliteremka
katika Hammer akishikiliwa na wasaidizi wake na kukalishwa katika kiti
cha magurudumu mawili kilichokuwa kikisukumwa na wasaidizi hao kuelekea
kwenye jukwaa la kanisa hilo.
Baada ya kufika, vikundi vya kwaya viliendelea kuimba na kucheza nyimbo mbalimbali za kumtukuza Mungu.
Gwajima
alizungumza na waumini wake kuanzia saa 5.30 hadi saa 6.45, akiwaeleza
kilichotokea kuanzia siku alipofika polisi kwa mara kwanza, mahojiano
hadi alipotoka hospitali.
Katika mahubiri yake, Gwajima alisema ataendelea kuwaonya viongozi wa Serikali na wa dini watakaokosea masuala mbalimbali.
“Sitajali ni kiongozi wa aina gani amekosea nitawakemea. Rais akikosea nitamkemea. Waziri akikosea nitamkemea na viongozi wa dini wakikosea nitaendelea kuwakemea,” alisema.
“Sitajali ni kiongozi wa aina gani amekosea nitawakemea. Rais akikosea nitamkemea. Waziri akikosea nitamkemea na viongozi wa dini wakikosea nitaendelea kuwakemea,” alisema.
Subscribe to:
Posts (Atom)
Search
Popular Posts
-
Iko hivi yani, Nimekua siwezi kujizuia hata kwa mwezi tu mmoja bila kutiwa na mwanaume yani mwanaume wangu, ikitokea nimeachana na ...
-
Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujeng...
-
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zil...
-
Wengine wanapenda sana wanawake wenye kina kirefu na wenginewenye kina kifupi. Hata hivyo, machaguo hayo huendana na urefu wa uume wa...
-
Basi kichwa cha mboo kikiwa juu ya kisimi chake alizidi kuhema kwa nguvu na mi bila huruma niliendelea kumsugua kisimi kwa kichwa cha mb...
-
Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe ye...
-
Wakati wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mt...