Thursday, 9 April 2015
On 21:27 by Unknown in HABARI No comments
Wakimbizi wa Palestina
Raia
wa Palestina wanasema kuwa wamekubali kushirikiana na serikali ya Syria
ili kujaribu kuwafurusha wapiganaji wa IS nje ya kambi moja ya
wakimbizi viungani mwa Damascus.
Tangazo hilo hilo lilifanywa na afisa mmoja wa serikali ya Palestina huko West Bank.
Wapiganaji
wa IS walitekeleza shambulizi katika kambi hiyo wiki iliopita na kuweza
kuiyumbisha kanbi hiyo licha ya pingamizi kutoka kwa jeshi la
Palestina.
Takriban wakimbizi elfu kumi na nane wanaishi katika kambi hiyo ambayo inakabiliwa upungufu mkubwa wa vitu muhimu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment