No.1. Jennifer Lopez
Anautajiri wa dola milioni $250 ,jinsi
gani alipata hu utajiri,?? Nikutokana na uigizaji wake, Mfanyabiashara
na kazi yake ya uimbaji. J-lo ni mwanada maaraufu mwenye maumbile
makubwa ya makalio, ambayo yanafanya ashikile nafasi ya kwanza kwenye
orodha ya wanawake maarufu Hollywood. Inarepotiwa kuwa mataka yake ameya
weka bima ya dola milioni $27. Anapenda kujivunia kuonyesha assets yake
hiyo kwenye magazines cover ya Stuff magazine mwaka 2001. Ambalo ni
moja ya magazine iliyoweka histori ya rekodi ya gazeti lilouza kuliko.
Kiukweli hilo tako limegharimu maelfu ya dola na sio chini ya hapo.
Matako mengine ya nakuja na kuondoka lakini kwa Jlo atatumia kila kitu
kulinda tako lake. Lol
No.2 Kim Kardashian
Anautajiri wa dola milioni $35, jinsi
alivyo upata huo utajiri, ?? utajiriwake umetokana , umodel, uigizaji,
mwanamkemfanyabiashara, Television Personality, na socialite. Anachukuwa
nafasi ya pili kuwa ni mwanamke mwenye Tako kubwa Hollywood,
nalilionekana sana kwenye s*x tape ambayo alikuwa nimmoja ya maboyfriend
wake maarafu sana. Naalishazushiwa kuwa matako yake ni yakutengeza
lakini yeye alikataa akasema no way its real.
3. Beyonce.
Anamiliki utajiri wa dola milioni $300
milioni. Jinsi gani alivyotengeneza utajiri?? Dada huyu anaingiza pesa
zake kwa kuwa muandishi mzuri wa nyimbo, rekodi Producer, muigizaji,
umodel, mvumbuzi wa mavazi, na ni mfanyabiashara. Anajiita
“b**t-y-l-i-c-i-o-u-s” . Nahuyu anachukua nafasi ya 3 kwa kuwa na matako
makubwa Hollywood
No.4 Serena Williams
Anautajiri wa dola miliobi $85, nautajiri
wake unatokana na uchezaji wa Tennis as Professional. Na nimaarufu kwa
kwa kuwa na tako kubwa kwenye tennis, lakini kutoka kwa serena mwnyewe
anasema kuna mwanamke mwenye matako makubwa kuliko yangu huko nje
nikisimama nae ni aibu tu.
No.5 Nicki Minaj
Anautajiri wa dola milioni $14 ambao
umetokana na uandishi wa mistari yake na rapa, mwanadada huyo anapenda
sana kuongelea kuhusu tako kila wakati, hata kwenye interview iliotokea
New York post Nicki Minaj alikuwa anaongela kuhusu ruma za utengezaji wa
matako yake. “absolutely not” said Nicki Minaj alipokuwa anaulizwa
kuhusu matako ya kutengeneza , “people will pick anything to talk about ,
and that happens to be the thing at the moment’’. Alisema Nicki Minaj.
No.6 Vida Guerra
Anautajiri wa dola milioni 2.5 na
amazitengeza kupitia kazi yake ya umodel. Wakati hajulikani kama
wanawake wengine waliopo kwenye orodha yetu, Nyuma kwa Vida kunamilikiwa
na dunia, alishinda FHM’s Best B*tt , kwenye the world award na sio
mara moja. Ni model, muimbaji na mwigizaji lakini anajivunia kwa
kujilikana kwa umbo la mwili wake. Kiukweli ameshinda tuzo ya best b*tt
mara mbili .
No.7 Nicole “Coco” Austin
Anautajiri wa dola milioni 4 kutokana na
umodel, reality Tv Personality , web personality. Hakuna wasi wasi
wowote kuwa Mke wa Ice T , Nicole Coco Austine anajivunia mwili wake
sana. Anapenda kupost picha za makalio yake sana kwenye Twitter,
No.8 Buffie Carruth
Buffie Carruth vile vile anajulikana kwa
jina la Buffie The Body or simply Buffie, ni model kutokea Athens,
Georgia anajulikana kunekana kwenye posing za hip hop zinaendana na
magazine na kuonekana kwenye video za hip hop. Shukuru kwa model kama
Buffie The Body the Big Booty” comple imefagia Us nzima nao inelekea to
getting out of control.
No.9 Jessica Biel
Anautajiri wa dola milioni $ 18 ,
amepatamafanikio hayo kwa kuwa muigizaji, model na mwimbaji , anachukua
nafasi ya 9 kwa kuwa na makalio makubwa kwa wanawake maarufu. Alianza
kucheza kwenye tv kama mtoto wakike wa muhubiri. Lakini umaarufu wake
ulitoke bada yakupiga picha ya utupu kwenye Gear Magazine akiwa na umri
wa miaka 17.
10. Sofia Vergara
Anamiliki utajiri wa dola milioni 14, na
utajiri huo unatokana na uigizaji, modeling , mtangazaji wa television
na mjasiriamali. Ni muigiza wa modern family amefungasha kila mahali. Ni
mdada mwenye kipaji, mzuri na ana makalio mazuri yenye mvuto sana. Ame
shikilia namba tatu kwenye Askmen.com 99 Most Desirable Women wa 2011
11.Melyssa Ford
Anamiliki wa dola milioni 2. Na utajiri
huo umetokana na uigizaji na umodeling , anashikilia nafasi ya 11 kwa
kubarikiwa na tako nzuri. Kiukweli anajulikana kuwa naumbo zuri lenye
mbinuko. Ameonyesha anavyotingisha matako yake kwenye vido ya Jay-Z,
Ghostface killah, na Mystikal, anajulikana mwanamke mweusi mzuri sana
duniani.
No.12 Eva Mendes
Anamiliki utajiri wa dola milioni 12.
Ambazo amazitengeza kwa kazi zake za uigizaji, model, uimbaji na
ububifu. Eva Mendes maumbile yake yanaweza kumbadilishi shoga kuwa
mwanaume waukeli, eva aliamuwa kutikisa dunia baada ya kutoka kwenye
Peta akiwa mtupu. Kampeni ilifanyika rockeffeller Plaza. Like mamlaka ya
jiji ili waambia waandaji wasi to mda kamili au sehemu itakapofanyika
maana walikuwa wanaogopa kutengeneza Mob scene.
No.13 Halle Berry
Anamiliki utajiri wa dola milioni $70 ,
ambazo zinatokana na uigizaji , na ni former model anachukua nafasi ya
13 kwa kuwa na makalio makubwa holly wood. Na kucheza kwake kwenye movie
ya swordfish na monster’s ball imemfanya halle Berry’s kutikisa
Hollywood na kwenye orodha yetu anatinngisha pia kwa kuwa na makalio
makubwa ndani ya Hollywood.
No.14 Scarlett Johansson.
Anautajiri wa dola milioni 35 ambazo
amazitengeza kutokana na uigizaji wa movie. Anachukua nafasi ya 14 ya
wanawake wenye makalio makubwa Hollywood, anamwili wenye mvuto sana
kwenye big scree, ana anajivunia kuwa nao, na haya ni maneno yake. “im
curvy-I’m never going to be 5’11 and 120 pounds” “ but I feel lucky to
have what I have got” na tunafurahia kumuangalia lol
15. Shakira
Anautajiri wa dola milioni 140 ambazo
amaezitengeza kwa kuwa mwimbaji, na mtunzi mzuri wa nyimbo na record
producer. Hakukosea kusema Hips don’t lie na hata makalio yake vile
never lie. Alichukua nafasi ya tatu kwenye Vote poll ya dunia ya best
butt. Ya mtandao wa WENN.com. shakira alifunika kwenye album Laundry
Service na kutingisha makalio yake juu ya stage.Imeandika kwenye http://infosourcestz.wordpress.com
0 comments:
Post a Comment