Thursday, 9 April 2015
On 21:31 by Unknown in MICHEZO No comments
Licha
ya kupangwa katika kundi gumu na timu za Nigeria, Misri na Chad katika
michuano ya kuwania kucheza Fainali za Mataifa ya Afrika 2017 nchini
Gabon, kocha wa timu ya taifa ya Tanzania, Mdachi Mart Nooij amesema
timu yake haiziogopi timu hizo.
Ameongeza kuwa badala yake,
zitegemee pia upinzani mkali kutoka kwa Stars ambayo ana amini itakuwa
imejiandaa vema kwa ajili ya mashindano hayo ambapo kushinda, kufungwa
au kupata sare itakuwa ni sehemu ya matokeo.
Michuano ya Cosafa
itakayofanyika nchini Afrika ya Kusini siku chache zijazo itakuwa ni
sehemu ya maandalizi kwa Stars, kwa mujibu wa Nooij, ambaye anasema
Stars itahitajika kutoa ushindani mkubwa.
Taifa Stars itakuwa na kibarua kigumu katika kugombea nafasi mbili kwa ajili kwenda kucheza fainali.
Stars
imeshuka katika viwango vya FIFA vya mwezi April vilivyotolewa Alhamis
kutoka nafasi ya 100 mpaka nafasi ya 107 na kushuka huko kuna maanisha
Nooij atalazimika kufanya kazi ya ziada kupenya katika tundu la sindano.
Licha
ya kushuka nafasi nne katika viwango vya FIFA, Nigeria, sasa ikiwa
nafasi ya 45 ni miongoni mwa timu ngumu barani Afrika zikiwa na historia
ya kufuzu kucheza kombe la Mataifa ya Afrika na hata la Dunia, sambamba
na Misri, ambayo imepanda nafasi 7 katika viwango hivyo na kuwa nafasi
ya 51.
Katika kundi hilo, Chad ndiyo timu iliyo chini katika viwango hivyo, ikishuka nafasi 3 na kuwa nafasi ya 151
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Popular Posts
-
Iko hivi yani, Nimekua siwezi kujizuia hata kwa mwezi tu mmoja bila kutiwa na mwanaume yani mwanaume wangu, ikitokea nimeachana na ...
-
Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujeng...
-
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zil...
-
Wengine wanapenda sana wanawake wenye kina kirefu na wenginewenye kina kifupi. Hata hivyo, machaguo hayo huendana na urefu wa uume wa...
-
Basi kichwa cha mboo kikiwa juu ya kisimi chake alizidi kuhema kwa nguvu na mi bila huruma niliendelea kumsugua kisimi kwa kichwa cha mb...
-
Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe ye...
-
Wakati wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mt...
0 comments:
Post a Comment