Thursday, 9 April 2015
On 21:33 by Unknown in MICHEZO No comments
Ni
kusuka au kunyoa ambapo kitendawili cha timu gani itafuzu kucheza
fainali za michezo ya Afrika kwa upande wa soka la wanawake kati ya
wenyeji Twiga Stars au Shepolopolo ya Zambia kitatenguliwa pale timu
hizo zitakapokwaana katika mechi ya kufuzu Ijumaa jijini Dar es Salaam.
Kuelekea
katika mchezo huo, makocha wa timu zote wametambiana huku kocha
mwenyeji, Rogasian Kaijage wa Twiga Stars akijivunia kuwa uwanja wa
nyumbani ambapo robo tatu ya mashabiki watakuwa upande wake.
Kaijage na nahodha wake Sophia Mwasikili wamewaomba Watanzania kujitokeza kwa wingi uwanjani kuja kuwashangilia.
Kocha
wa Shepolopolo, Albert Kachinga, akiwa nyuma ya magoli 2-4 katika
mchezo wa kwanza uliochezwa mjini Lusaka, amesema amefanyia kazi makosa
yaliyosababishwa kufungwa na wana matumaini ya kushinda.
Zambia pia ina nafasi endapo itaifunga Stars kwa zaidi ya idadi ya magoli yale ya awali waliofungwa nchini mwao.
Mechi
inatarajiwa kuanza majira ya saa 10:30 jioni kwa saa za Afrika
Mashariki, na tiketi za mchezo zitauzwa saa chache kabla ya mechi eneo
la Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam, huku viingilio vya mchezo huo
vikiwa ni shilingi za Kitanzania 5000 (wastani wa dola3 za kimarekani)
kwa viti maalumu na shilingi 2000 (dola 1) kwa majukwaa yaliyobakia.
Twiga Stars ambayo katika
mchezo wa awali iliibuka na ushindi wa mabao 4-2, inahitaji sare ya aina
yoyote ili kuweza kufuzu kwa fainali za Michezo ya Afrika
zitakazofanyika nchini Congo-Brazzavile mwezi Septemba.
Rais wa
Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Tanzania (TFF), Jamal Malinzi,
ameitakia kila la kheri timu ya Taifa ya Wanawake Tanzania (Twiga Stars)
wakati wa chakula cha mchana kilichoandaliwa kwa ajili ya timu.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Popular Posts
-
Iko hivi yani, Nimekua siwezi kujizuia hata kwa mwezi tu mmoja bila kutiwa na mwanaume yani mwanaume wangu, ikitokea nimeachana na ...
-
Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujeng...
-
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zil...
-
Wengine wanapenda sana wanawake wenye kina kirefu na wenginewenye kina kifupi. Hata hivyo, machaguo hayo huendana na urefu wa uume wa...
-
Basi kichwa cha mboo kikiwa juu ya kisimi chake alizidi kuhema kwa nguvu na mi bila huruma niliendelea kumsugua kisimi kwa kichwa cha mb...
-
Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe ye...
-
Wakati wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mt...
0 comments:
Post a Comment