Thursday, 9 April 2015
On 21:34 by Unknown in MICHEZO No comments
Shirikisho la mpira wa miguu duniani
(FIFA) limetoa viwango vipya vya soka duniani huku Tanzania na Rwanda
zikishuka kwa nchi za Afrika ya Mashariki wakati Kenya, Uganda na
Burundi zikipanda viwango.
Kushuka na kupanda kwa viwango
kunatokana na mechi za kirafiki za kimataifa za Fifa zilizofanyika mwezi
Machi , ambazo matokeo yake ni sehemu ya kigezo.
Tanzania, baada
ya kutoka droo ya 1-1 na timu ya Malawi katika moja ya mechi hizo za
kirafiki, imeshuka kutoka nafasi ya 100 mpaka ya 107 huku Rwanda
ikishuka nafasi 10 hadi ya 74 baada ya kupokea kichapo kutoka kwa Zambia
cha magoli 2-0 mwezi Machi.
Uganda ndio nchi inayoongoza katika
Afrika ya Mashariki ikipanda nafasi mbili juu na kushika nafasi ya 72
baada ya kuwafunga Nigeria 1-0.
Burundi nayo imepanda kutoka nafasi ya 126 mpaka ya 123 mbali ya kutoka droo ya 2-2 na timu ya Mauritius.
Kenya
pia imepanda nafasi moja juu na sasa ipo ya 117 huku ikiwa na rekodi ya
kuifunga Shelisheli 2-0 katika mechi yake ya kirafiki.
Mbali na Afrika ya Mashariki, kiujumla kumekuwa na mabadiliko makubwa katika viwango hivyo vya mwezi April.
Miongoni
mwa nchi zilizopanda ni Belgium ikiwa ya tatu baada ya kupanda juu
nafasi moja kufuatia ushindi wake katika michuano ya Ulaya ya EUFA.
Brazil pia ni miongoni mwa nchi zilizopanda, ikiwa ya ya 5, ikipanda nafasi 1.
Nchi 10 bora katika viwango vya fifa ni
1. Ujerumani
2. Argentina
3. Belgium
4. Colombia
5. Brazil
6. Netherlands
7. Portugal
8. Uruguay
9. Swizerland
10. Uhispania
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Popular Posts
-
Iko hivi yani, Nimekua siwezi kujizuia hata kwa mwezi tu mmoja bila kutiwa na mwanaume yani mwanaume wangu, ikitokea nimeachana na ...
-
Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujeng...
-
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zil...
-
Wengine wanapenda sana wanawake wenye kina kirefu na wenginewenye kina kifupi. Hata hivyo, machaguo hayo huendana na urefu wa uume wa...
-
Basi kichwa cha mboo kikiwa juu ya kisimi chake alizidi kuhema kwa nguvu na mi bila huruma niliendelea kumsugua kisimi kwa kichwa cha mb...
-
Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe ye...
-
Wakati wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mt...
0 comments:
Post a Comment