Saturday, 21 March 2015
On 03:44 by Unknown in HABARI No comments
Kuna kasumba ya kizamani kuwa wanaume ndiyo
waliokuwa wanawapiga wake zao lakini inavyoonekana sasa kibao kimegeuka
baada ya mwanamke aliyejitambulisha kwa jina la Irene Edwin kudaiwa
kumzaba mumewe, Amani Joseph, wote wakazi wa maeneo ya Misungwi mkoani
Mwanza kisa kikielezwa kuwa ni wivu wa kimapenzi.
Tukio hilo lililoshuhudiwa mchana kweupe lilijiri hivi karibuni
maeneo hayo ambapo Irene alimfuma mumewe akiwa baa na mchepuko wakiponda
raha.
Kwa mujibu wa shuhuda wetu ambaye ni mtu wa karibu wa wanandoa
hao, mwanaume huyo alidaiwa kuwa na kawaida ya kutoka na mchepuko wake
ambao jina lake halikupatikana mara moja na kwenda kujiachia sehemu
mbalimbali za starehe hivyo kumfanya mkewe aweke mtego wa kuwanasa
wawili hao.
“Mwanzoni Irene alikuwa akisikia tu maneno kwa watu lakini ili apate
uhakika alianza kumfuatilia mumewe na kumwekea mtego ndipo akamnasa
mchana kweupe,” alidai shuhuda huyo.
Shuhuda huyo aliendelea kumwaga
‘ubuyu’ kuwa baada ya mke kufika eneo la tukio aliwakuta wawili hao
wakiendelea kula raha ndipo alipoamua kuanzisha timbwili zito.
“Yaani Irene alipowanasa alimkamata kwanza mchepuko wa mumewe ili
autwange lakini ulimponyoka na kukimbia ndipo alipoamua kumshushia
kipondo kizito mume wake.
“Baada ya timbwili kuwa zito walitoka nje ya
baa na kuendelea kuzichapa huku mwanaume akizidiwa nguvu na kujikuta
akizabuliwa na mkewe,” alisema shuhuda huyo.
Ilisemekana kwamba baada ya mume huyo kuzidiwa na kipigo hicho alisikika akisema: “Niache tukayamalize nyumbani.”
Hata hivyo, pamoja na
utetezi, mke hakutaka kumwelewa kwani aliendelea kumpa kibano hadi
jamaa alipotoka nduki.
Huku akiwa na hasira, Irene alisema kuwa aliamua
kufanya hivyo kwani alikuwa amechoshwa na vitendo hivyo.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Popular Posts
-
Iko hivi yani, Nimekua siwezi kujizuia hata kwa mwezi tu mmoja bila kutiwa na mwanaume yani mwanaume wangu, ikitokea nimeachana na ...
-
Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujeng...
-
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zil...
-
Wengine wanapenda sana wanawake wenye kina kirefu na wenginewenye kina kifupi. Hata hivyo, machaguo hayo huendana na urefu wa uume wa...
-
Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe ye...
-
Basi kichwa cha mboo kikiwa juu ya kisimi chake alizidi kuhema kwa nguvu na mi bila huruma niliendelea kumsugua kisimi kwa kichwa cha mb...
-
Wakati wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mt...
0 comments:
Post a Comment