Saturday, 28 March 2015
On 09:59 by Unknown in MAPENZI No comments
Ni muhimu sana kwako mwanaume kujua kwa uhakika kuwa mwanamke
anakupeda kweli kweli,utajuaje kuwa mwanamke anakupenda? Zifuatazo ni ishara
ambazo wewe kama mwanaume unapaswa uwe makini ili uweze kuziona na haraka
kumtolea uvivu huyo mwanamke.
* Mwanamke anayekupenda atahangaika juu yako, atahangaika juu ya
usalama wako,raha yako,heshima yako na maendeleo yako.Hii ni moja kati ya
ishara kubwa kuwa mwanamke huyo anaupendo na wewe.
* Mwanamke anayekupenda atakuonea wivu mara kadhaa,Wivu ni
ishara kuwa anakupenda wewe na anataka akulinde usiibiwe au asije
akakupoteza,anaogopa usije ukatoka katika maisha yake,au kwa maneno mengine
usije ukamtoa moyoni mwako na nafasi yake ikachukuliwa.Japo wivu ukizidi sana
pia inaweza kuleta tatizo
* Mwanamke anayekupenda atakapokuwa mbele ya marafiki zake au
watu wengine atacheka nao lakini atakugeuzia ww macho/uso wake haraka sana.
Kufanya hivi ni kuonyesha kuwa anakuhesabia ww kuwa utaweza kumletea furaha
katika maisha yake,zaidi ya hilo ni kwamba anatumaini kuwa utamuona kuwa yeye
ni mtu aliye rahisi kufurahishwa kwa kuwa yeye ni mtu wa furaha.
* Mwanamke anayekupenda ataendelea kukuangalia usoni kwa muda
mrefu kuliko ilivyo kawaida ya wanawake wengine,mara nyingi atakuangalia na
kutabasamu vizuri. Hii huenda ni ishara moja muhimu sana ya kukuambia kuwa
“NJOO NIKO KWAAJILI YAKO.”
Hivyo kama ulikuwa unahisi unamhitaji basi ni wakati mwafaka wa
kumfuata na kumweleza ukweli na kirahisi nakuhakikishia unabeba mzigo kwani ni
mtu tayari aliyekuwa anahisia kali za mahaba juu yako
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Popular Posts
-
Iko hivi yani, Nimekua siwezi kujizuia hata kwa mwezi tu mmoja bila kutiwa na mwanaume yani mwanaume wangu, ikitokea nimeachana na ...
-
Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujeng...
-
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zil...
-
Wengine wanapenda sana wanawake wenye kina kirefu na wenginewenye kina kifupi. Hata hivyo, machaguo hayo huendana na urefu wa uume wa...
-
Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe ye...
-
Basi kichwa cha mboo kikiwa juu ya kisimi chake alizidi kuhema kwa nguvu na mi bila huruma niliendelea kumsugua kisimi kwa kichwa cha mb...
-
Wakati wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mt...
0 comments:
Post a Comment