Saturday, 28 March 2015
On 09:55 by Unknown in MAPENZI No comments
Kama upo kwenye uhusiano wa mapenzi na mwanamke ambaye ana matatizo ya
kutofika kileleni au hajawahi kufika mshindo na kuishia kusikia kwa
mashoga zake kuwa mapenzi matamu, bila shaka akikueleza hili kabla ya
majambozi mtaishia wote kuchanganyikiwa kisaikolojia na hatimaye gemu
lenu likawahalina majambozi yaani mtacheza chini ya kiwangoi kuytokana
na hofu kutawala. Katika hali ya kawaida kama mwanamke atashindwa
kufikishwa kileleni na ampendaye basi hukosa hamu ya kufanya tendo siku
nyingine anapohitajika kutoa penzi na hata akikubali kufanya basi
hufanya kwa kutimiza wajibu kwani huwa hajui utamu wa majambozi, na
mwanaume anayeshindwa kutotosheleza mpenzi wake kwa kumpa dozi
inayostaili hadi kusikia utamu usiosimulika huyo uwezo wake huwa ni
mdogo ambapo mimi huwa napenda kumuita jogoo. Ndiyo je, unashangaa
nini ushawahi muona jogoo alivyofasta kumaliza haja zake za mwili na
kumuacha tetea akijiuliza anarudi tena ama ndiyo kaenda maana tetea
hubaki kachutama akizani jamaa atarudi kumbe ndiyo imetoka babakeee!
Kimsingi mahusiano mengi yamevunjika kama siyo kutawaliwa na usaliti
kutokana na tatizo hili hivyo kama wewe ni mwanaume, mwanamke au ni
wapenzi ambao mmedhamiliya kujifunza jinsi ya kumfikisha kileleni
mwanamke na kumfanya ajisikie furaha ya ajabu ambayo wanawake wachache
tu duniani huipata kwa vidume vinavyojua kujishughulisha kunako sita kwa
sita yaani namaanisha wanaume wasio wabinafsi kunako majambozi,
tafadhali soma makala haya kwa umakini kisha nenda kayafanyiye kazi haya
nitaninayokueleza:-
HATUA YA KWANZA: USIMPRESHE WALA KUJIPRESHA! Kadri mwanamke
anavyojitahidi kuvuta hisia na kujishughulisha kwa namna moja ama
nyinyingine kuweza kuinua hamasa yake ya mapenzi ili kuhakikisha anafika
kileleni, ndivyo atakavyoweza kusikia raha ambayo humuwezesha kufikia
mshindo. Amini usiamini hata wanawake ambao wao wakishikwa kidogo tu
kwenye kipengele G yaani g-spot na kupigwa katelelo kwa dk 1 hufika
kileleni pindi wanapokumbana na presha kutoka kwa wapenzi wao basi
hushindwa kufikiakwenye kilele cha raha hata kama mwanaume huyo atadumu
kwenye uwanja wa mapambano kwa dk 30! Mwanamke yoyote yule anapokumbana
na presha zisizo na sababu toka kwa mwenza wake dakika chache kabla ya
majambozi au kwenye uwanja wa malavedave basi hushindwa 'kupizi' kwani
hata kama wazungu (bao) wakiwa wanakuja na dume likaanza kumpandisha
presha wazungu hurudi kwao! Hali hii haiwakumbi wanwake tu bali hata
wanaume hushindwa kuwajibika vema faragha pindi wanapokumbana na presha
za hapa na pale toka kwa wawapendao. Hivyo basi wewe mwanaume ili uweze
kumfikisha mwenza wako kileleni unapaswa kuhakikisha unaacha kumuuliza
unakuja? siju la azizi unakaribia kukojoa? au mpenzi nakufanya vizuri?
unajisikia raha? nakukamua vizuri kuliko ....(unamtajia mpenzi wake wa
zamani)? Njia mbadara ya kukabiliana na presha ni kutoelekeza fikra
zako kwenye kupiga mabao, fuarahia mchakato mzima wakufanya mapenzi bila
shaka unatambua kuwa mapenzi yanayolenga kufurahishana/kupena traha
nyote huhitaji kufuata process zote muhimu na hayataki mapenzi ya kuu
yaani yaani unamnyatia mpenzi wako na nadni ya dk 3 umeshamsaula na
kumkamua na gemu linaisha mwanamke wa watu hata hisia hazijamuamka
kidume uko pembeni unatweta yaani mipumzi ya mmmmh kibao, tumia muda
wakutosha kutomasana na katika kipindi hiki cha kuandaana ndipo
unapohitaji kuhakikisha unamaliza presha zote mlizonazo. Hatua hii ya
kwanza ukiitekeleza basi unaweza ukabadilika katika mtazamo wako juu ya
kufanya mapenzi kwani wanaume wengi huwaza kukamua bao zaidi ya
mojawakiamini kuwa kwa kufanya hivyo wanamfikisha mwanamke kitu ambacho
nsi kweli kwani mwanamke unaweza ukamkojolea hata bao 7, lakini
ukashindwa kumfikisha hivyo kama utaweza kutoa wazo la bao ngapi leo
namchapanazo na kuondoa presha pindi mnapokuwa faragha, unaweza kushikwa
na butwaa kwa jinsi mtoto wa kike atakavyokuwa anakulalamikia kwa raha
anayoipata kitandani na kwa mara ya kwanza unaweza kusikia akikwambia
nakuja dear......usiniulize anakuja wapi kudadeki!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Popular Posts
-
Iko hivi yani, Nimekua siwezi kujizuia hata kwa mwezi tu mmoja bila kutiwa na mwanaume yani mwanaume wangu, ikitokea nimeachana na ...
-
Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujeng...
-
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zil...
-
Wengine wanapenda sana wanawake wenye kina kirefu na wenginewenye kina kifupi. Hata hivyo, machaguo hayo huendana na urefu wa uume wa...
-
Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe ye...
-
Basi kichwa cha mboo kikiwa juu ya kisimi chake alizidi kuhema kwa nguvu na mi bila huruma niliendelea kumsugua kisimi kwa kichwa cha mb...
-
Wakati wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mt...
0 comments:
Post a Comment