AdSense

Saturday, 28 March 2015

On 10:06 by Unknown in    No comments
 
kuna mambo mengi yanapelekea watu kujiingiza kwenye shutuma za upigaji picha za utupu na ngono.
kwakweli jamii inatakiwa kukaachini na kutazama upya juu ya suala hili kuliko kubakia kutupia lawama tu kwa muhusika.
hapa tunakuwa hatutatui tatizo hili kabisaa na inawezekana tukawatunazidi kulichochea nakuwapa mwanya wahusika waovu kuendelea kutumia mwanya huo wakutojulikana kuendeleza vitendo vyao viovu kwani hatutakuwa tumepatia muafaka wa suala zima na kuendelea kumnyooshea kidole mpigwa picha tukimsahau mpigaji.
nimekaa na kulifuatilia suala zima usiku na mchana kwani hainiingii akilini kabisa kuona mtu tena maarufu na mwenye akili yake timamu akidiriki kuweka pozi  na kupigwa picha ya utupu au ya ngono hili hali akijua kabisa picha hiyo si tafsiri nzuri kwa matumizi ya kijamii ya tanzania.
nazani nikisema hivi unanielewa maana kijana wa kitanzania anafahamu haswa kuwa maadili yake hayamruhusu kabisa kuonekana anafanya mapenzi hazarani au anaonesha utupu adharani, na kuonyesha pisha hadharani nisawa nakufanya kitendo hicho.
Hapa kwa mtazamo wangu nimegundua kwamba kuenea kwa picha za ngono na za utupu inatokana nakutokuwa makini wakati wa faragha. navyofahamu kwa upeo wangu kwamba sehemu faragha ni sehemu nyeti. basi ili itimie uhalisia wa sehemu faragha unapaswa kufunga mlango mapazia na kuhakikisha uko mweneywe kabisa uhonekani haswaa.
na endapo utamshirikisha mwenzako katika unyeti huo basi wote wawili mnatakiwa kuwa katika hali ya kuaminiana.

bila kificho nataka kusema hivi WANAWAKE TUNATAKIWA KUWA MAKINI SANA NA KUTAMBUA NIWATU GANI TUNAO WASHIRIKISHA KATIKA WAKATI WA FARAGHA.
inaonyesha zahili kuwa uenevu wa picha za ngono na utupu hauchangiwi kabisa na muhusika katika picha.
basi ninani haswa anayetuchafua katika jamii??????
leo nataka kutoa jibu la hili ikiwezekana tusaidiane tutokomeze hili tatizo kabisa.
unakuta mtu mwanamke tena anaeshimika kabisa katika jamii, anampenzi wake na kwamapenzi makubwa aliyokuwa nayo kwa mpenzi wake anakubari kupigwa picha naye wakiwa kwenye faragha akifikiria itaongeza chachu ya mapenzi nalabda itabaki kumbukumbu nzuri tu kwa mpenzi wake kutokana na jinsi upeo wao wawili utakavyo wapelekea mpaka watakapofikia maamuzi ya kupigana picha za utupu au wakiwa wanafanya ngono.bila ya kutegemea au kwa makusudi mwenzio anaenda kuwaonesha wenzake kwa kuwalingishia nao watathmini raha aliyopata walipokuwa faraghani na muhusika katika picha pasipokujua anasababishia kumwiza muhusika katika listi ya wapiga picha za utupu au ngono. mwingine kwa makusudu kabisa anapelekea kwenda kumtangaza muhusika katika picha kwa watu akidai muoneni huyu anaye jidai labda super star yuko hivi akiwa mtupu na pengine akijitapa kuwa yeye ndio anaye mmiliki kwasasa na hushaidi ni picha hiyo. basi tunaona hapa inapelekea kwa kasi kuenea kwa picha za utupu, kila kukicha utasikia fulani amepiga picha ya utupu au fulani anashiriki katika picha za ngono.

kwakeli nasisitiza wanawake tuwe makini sana naninani anaye tupiga picha na kwa matumizi gani?
na kwanini tukubali kupigwa pigwa picha za utupu au ngono?????
lakini kabisa kama jamii hatutakiwi kutupia lawama kwa wahusika wa picha za ngono na utupu tuliangalie upya suala zima na kutafuta njia mbadala wa kujinasua katika hili. nasisitiza kwa kusema wanawake tuwe makini.

0 comments:

Post a Comment