Wednesday, 1 April 2015
On 19:07 by Unknown in MAPENZI No comments
Mstari mbaya sana huu ambao kiukweli unakufunga kazi zote za ubongo na kushindwa kufikilia vizuri mtego wa panya ambao hauna pa kutokea.
Mara nyingi huwa ni mstari wa kujiahami ambao mwanamke huutumia ili
kukupunguza kasi hasa unapokuwa na haraka sana ya kumtongoza maana
anakuwa hakujui we ni nani, upoje, tabia yako hususani ni ya aina gani
maana inawezekana ukawa ni jambazi usiku, na asilimia 80% ya wanaume
wanaoambiwa hivi huwa ndio kwa mara ya kwanza ndo wanakutana na huyo
mwanamke au ndo mara ya kwanza kuongea nae.
Sio kila mwanamke ni sawa, wanawake ni tofauti na hutofautiana kwa uwezo wa uelewa na kisaikolojia, hii hutokana na jinsi mwanamke alivyokuzwa na mambo mbali mbali yaliomtokea kwenye maisha, hivyo hivyo na wakati wa utongozaji iwapo ukikariri utongozaji wa aina moja utajikuta unakumbwa sana na haya mambo maana jinsi mwanamke mmoja anavyoamini na kumkubali mtu kwa wepesi ni tofauti kabisa na mwanamke mwingine anavyoweza kufanya hivyo.
Pole pole ndio mwendo na simba mwenda pole ndio mla nyama, usiwe na
haraka ya kusema yale yaliyo moyoni mwako, cha kwanza na cha kuangalia
mpe muda wa mwanamke akufahamu, akuzoee na kukujua wewe ni mtu wa aina
gani, haimaanishi mara uonapo mwanamke kapendezwa na kupenda kampani
yako kwa maongezi ndo hapo hapo uanze kumtongoza, msome na mjue ni aina
gani ya mwanamke, ikiwa hauna uhakika mwambie umependa maongezi yake na
ungependa kuendelea na hayo maongezi siku nyingine hivyo akupe
mawasiliano ni kwa jinsi gani utampata, subira huvuta heri na atakuona
wewe ni aina tofauti ya mwanaume maana umependa kumjua kwanza na hauna
haraka naye hivyo hata akikutana nawe haupo kwa kumtamani pekee.
Iwapo umemtogoza mwanamke na amekuambia anaye ampendaye na sio kuwa ndo kwa mara ya kwanza ndo mnazungumza ama kuonana hapo kidogo ni shida, kitu cha kwanza huwa ni cha kwanza, haimaanishi amekuingia moyoni kiasi gani, umemtamani kiasi gani au unamarengo nae kiasi gani, kitu kimoja cha kufanya ni kumsahau na kumtoa akilini kabisa huyu msichana, maana hii humaanisha msichana hajakupenda au hajaona iwapo mnaweza kweli mkaendana, na wala usije puuzia ukaona labda anakupima kukuona ni kwa kiasi gani unaweza kumsumbukia, huu msitari mwanamke akiutumia humaanisha hayuko tayari kuanzisha uhusiano na wewe. Kama mwanamke kapendezwa na wewe, hukusaidia kukupa njia za kumtongoza, kama ni kimaongezi atajiweka kimaongezi zaidi, kama yupo kwenye kundi la watu atajisogeza pembeni ili apate kuzungumza na we kwa uzuri zaidi, ila akionyesha dalili tofauti na hapo kwa kukupa majibu ya mkato na kukuambia anaye ampendae basi hapo umekutana na jiwe lisilopasuka na kama ni bahati yako sio hapo ilipo. Na kunauwezekana akawa anakuambia hivyo sababu kwa muda huo anachohitaji ni rafiki wa kawaida pekee, inawezekana alikuwa kwenye uhusiano wa muda mrefuu, ameachana na wewe ndo ukaona nafasi na fursa imejitokeza ya wewe kuwa nae, kama kuwa nae kama rafiki utaweza japo utahitaji subira, unaweza kusubiri na kuwa nae kama rafiki labda mambo yanaweza kubadilika kadri ya miezi inavyozidi kwenda na siku moja subira yako ikazaa jambo siku za mbeleni, kama tu utakuwa mtaratibu na mwenye subira kubwa. Inaweza kutokea akaja kukutambulisha pia kwa marafiki zake wa kike ukawa haujapoteza sana, tofauti na hapo kuwa mtaratibu na mtakie siku njema na endelea na mambo yako.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Popular Posts
-
Iko hivi yani, Nimekua siwezi kujizuia hata kwa mwezi tu mmoja bila kutiwa na mwanaume yani mwanaume wangu, ikitokea nimeachana na ...
-
Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujeng...
-
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zil...
-
Wengine wanapenda sana wanawake wenye kina kirefu na wenginewenye kina kifupi. Hata hivyo, machaguo hayo huendana na urefu wa uume wa...
-
Basi kichwa cha mboo kikiwa juu ya kisimi chake alizidi kuhema kwa nguvu na mi bila huruma niliendelea kumsugua kisimi kwa kichwa cha mb...
-
Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe ye...
-
Wakati wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mt...
0 comments:
Post a Comment