Thursday, 2 April 2015
On 03:17 by Unknown in HABARI No comments
Mahakama
ya Hakimu Mkazi Kisutu, imetoa hati ya kukamatwa kwa Mkurugenzi wa
Sheria wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Rugonzibwa
Mujunangoma anayekabiliwa na kesi ya kupokea Sh milioni 323.4, kwa kuwa
hajafika mahakamani.
Aidha
imetoa hati kwa wadhamini wa Mujunangoma kufika mahakamani kujieleza
kwa nini wasichukuliwe hatua kutokana na kitendo chao na mshitakiwa
kutofika mahakamani.
Hakimu
Mkazi Emmilius Mchauru alitoa hati hizo jana wakati kesi hiyo
ilipotajwa kwa ajili ya kusikiliza pingamizi, lililowasilishwa na upande
wa utetezi.
Awali,
Wakili kutoka Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru),
Leonard Swai aliiomba mahakama kutoa hati hizo kwa kuwa mshitakiwa na
wadhamini wake hawajafika mahakamani bila kutoa taarifa.
Hakimu
alikubali ombi hilo na kuahirisha kesi hiyo hadi Mei 4, mwaka huu, kesi
itakapotajwa tena. Mujunangoma anadaiwa kupokea rushwa ya Sh milioni
323.4 kutoka kwa Mkurugenzi wa VIP Engineering and Marketing, James
Rugemalira.
Kwa
mujibu wa taarifa zilizopatikana nje ya mahakama kutoka kwa watu
wanaodai ni ndugu wa mshitakiwa, Mujunangoma alipata shinikizo la damu
akiwa njiani kuja mahakamani hivyo alipelekwa katika Hospitali ya Arafa,
Tabata, na kulazwa.
Ilidaiwa
kuwa walitoa taarifa kwa mdhamini ili afike mahakamani kutoa taarifa
lakini alichelewa na kukuta kesi imeshatajwa na hati hizo zimetolewa.
Mujunangoma
anadaiwa Februari 5, 2014 katika Jengo la Benki ya Mkombozi, alipokea
rushwa ya Sh milioni 323.4 kutoka kwa mmiliki wa Kampuni ya kufua Umeme
ya VIP Engineering and Marketing ambaye pia alikuwa Mkurugenzi wa
Kampuni ya IPTL, James Rugemalira.
Inadaiwa
Mujunangoma, alipokea fedha hizo kupitia akaunti 00120102602001 kama
tuzo baada ya kushughulikia masuala ya Kampuni ya IPTL kama mfilisi,
bila kumtaarifu mkuu wake wa kazi ambaye ni Katibu Mkuu wa Wizara ya
Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Tume ya Maadili ya Viongozi wa
Umma.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Popular Posts
-
Iko hivi yani, Nimekua siwezi kujizuia hata kwa mwezi tu mmoja bila kutiwa na mwanaume yani mwanaume wangu, ikitokea nimeachana na ...
-
Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujeng...
-
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zil...
-
Wengine wanapenda sana wanawake wenye kina kirefu na wenginewenye kina kifupi. Hata hivyo, machaguo hayo huendana na urefu wa uume wa...
-
Basi kichwa cha mboo kikiwa juu ya kisimi chake alizidi kuhema kwa nguvu na mi bila huruma niliendelea kumsugua kisimi kwa kichwa cha mb...
-
Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe ye...
-
Wakati wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mt...
0 comments:
Post a Comment