Monday, 6 April 2015
On 05:15 by Unknown in MICHEZO No comments
Novak Djokovic ameendelea kuongeza mataji ya mchezo huo na sasa yamefikia saba.
Hatua hiyo imekuja baada ya jana kunyakua ubingwa michuano ya Miami Open kwa kumbwaga mpinzani wake Andy Murray.
Ubingwa huyo namba moja kwa ubora duniani alimbwaga mpinzani wake kwa seti 7-6 ,7-3, 4-6, 6-0.
Na
baada ya mechi za jana za ligi kuu ya England leo kutakuwa na mchezo
mmoja ambapo Crystal Palace watawakaribisha Manchester City.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment