AdSense

Thursday 2 April 2015

On 08:47 by Unknown in    No comments
 

Mwanaume mmoja jina "tumeliweka kapuni" amekuwa  na  tabia  chafu  ya kuwafanyisha mapenzi  wanawake  mithili ya wanyama ndani  ya jumba lake  la  kifahari.......Chanzo chetu cha habari kimedai kuwa, nyumba  hiyo ya kifahari ipo maeneo ya  Mbezi Beach, ambapo wasichana hualikwa na kunywa pombe baadaye hupigwa picha za utupu.

Mtandao huu  umefanikiwa kupata picha zilizopigwa  ndani  ya jumba hilo na nyingi zinaonesha watu wakifanya mapenzi ama mwanaume na mwanamke au mwanamke na mwanamke.

Baadhi ya picha zilizopigwa katika jumba hilo zinaonesha maadili yasiyofaa kuandikwa , huku baadhi ya wasichana wakiwa na nguo za ndani tu au kufunga mataulo viunoni, matiti yakiwa nje.

Picha hizo, zinaonesha wavulana wakiwa na wasichana ndani ya bwawa la kuogelea huku wengine wakichezewa kimahaba.

Habari  zinadai  kuwa ndani ya jumba hilo sherehe kama hizo zimekuwa zikifanyika mara kwa mara na waalikwa huambiwa kuwa hiyo ni siku ya kula bata.

Aidha, imeelezwa kuwa washiriki wote hasa wanawake kila mmoja hupewa shilingi 100,000 baada ya sherehe na haijulikani   picha hizo chafu hupelekwa wapi baada ya shughuli.







0 comments:

Post a Comment