Saturday, 28 March 2015
On 06:17 by Unknown in MAPENZI No comments

Haya
hii ya leo ngoja niwatobolee siri kidogo tu kwenye upande wa mapenzi.
unajua wanawake bwana tupo kama mayai ukiyaminya kidogo tu huwa
yanapasuka.. sasa wengi wanaume huwa wanabaki kuropoa “wanawake
hawaeleweki” WANATAKA TUWEJE? Mwanamke huwa anapenda sana kuambiwa
ukweli japo wengi wanadai eti bila kudanganywa hatuingiliki, Wanawake
wengi hupenda kuspend muda wake zaidi na wake mpenziuliko na marafiki
zake. Mwanamke hupenda mwanaume anaejali zaidi kuliko mbabaishaji “sasa
wewe jifanye gogo tuone kama utapata mrembo” Jeuri ufanyiapo mwanamke
dhahir huwa unamvunja moyo na hukushusha thamani yako pindi umfanyiayo
yakawa yale yanayo mdharaulisha zaidi Mthamini mpenzi wako hata ukiwa na
watu wengi, onyesha unajali kuwa nae karibu, hujiona wa pekee Mwanamke
hupenda kusikilizwa japokuwa wanaume hujifanya vichwa na kutuona hatuna
la kuongea lakini sio kweli ni fikra zenu tu. Msikilize mpenzi wako uone
kama na wewehatokusikiliza Mwanamke huthamini sana msg za mpenzi wake
kuliko simu apigiwayo na mwenza wake, maana kuona faraja zaidi pindi
asomapo msg hizo zaidi ya kupoteza muda kusubiri apigiwe au akupigie.
Msifie mkeo ama mchumba wako pindi apendezapo na kumpa faraja pindi
aumizwapo. Msikilize mchumba wako na usitumie lugha ya ukali akuombapo
ushauri bali jaribu kuchunguza zaidi nini atakacho kwako. Kila lililo
dogo usilikuze bali lipe nafasi yake katika kutoa kipingamizi ama
makubaliano.lasivyo utasababisha kutokujiamini.Onyesha unajali Mkumbuke
kila wakati hata mara2 kwa siku Punguza jeuri na kauli chafu ukifananya
kati ya hayo hutopata misukosuko mingi na kumbuka kujishusha endapo
ufanyapo kosa na acha kutumia mabavu zaidi kuliko upole. haya jamani ni
hayo tu labda utaona umuhimu wa mwenza wako zaidi ya kuliko kutoa lawama
juu yake, wapendwa kama hamtojali kama kuna ambayo wakina kaka nao
wanataka kutoa kero zao uwanja wenu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Popular Posts
-
Iko hivi yani, Nimekua siwezi kujizuia hata kwa mwezi tu mmoja bila kutiwa na mwanaume yani mwanaume wangu, ikitokea nimeachana na ...
-
Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujeng...
-
Basi kichwa cha mboo kikiwa juu ya kisimi chake alizidi kuhema kwa nguvu na mi bila huruma niliendelea kumsugua kisimi kwa kichwa cha mb...
-
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zil...
-
Wakati wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mt...
-
Wengine wanapenda sana wanawake wenye kina kirefu na wenginewenye kina kifupi. Hata hivyo, machaguo hayo huendana na urefu wa uume wa...
-
Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe ye...
-
No.1. Jennifer Lopez Anautajiri wa dola milioni $250 ,jinsi gani alipata hu utajiri,?? Nikutokana na uigizaji wake, Mfanyabiashara na ...
0 comments:
Post a Comment