Saturday, 4 April 2015
On 03:09 by Unknown in SIASA No comments
Shinikizo
la kumshawishi Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa, kuchukua fomu ya
kugombea urais katika Uchaguzi Mkuu Oktoba, mwaka huu, limeendelea na
safari hii wanafunzi wa vyuo vikuu vitatu vya jijini Mwanza, wametoa
tamko la kumtaka kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho.
Wakizungumza
na waandishi wa habari jana jijini hapa, viongozi wa vyuo vya Chuo
Kikuu cha Mtakatifu Agostino (SAUT), Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) na
Chuo Kikuu Katoliki cha Sayansi na Tiba za Afya (CUHAS), walimtaka
Lowassa kuchukua fomu ya kuwania urais wakati ukifika.
Viongozi
hao waliyazungumza hayo wakati wakikabidhi misaada mbalimbali kwenye
kituo cha kulelea watoto yatima cha Upendo Daima, jijini Mwanza.
Rais
wa Serikali ya Wanafunzi wa CUHAS, Godfrey Kisigo, alisema wameamua
kumuunga mkono Lowassa kwa sababu anapendwa na kila Mtanzania.
Alisema wanamuomba muda ukifika awe mtu wa kwanza kujitokeza kuchukua fomu ili kugombea nafasi ya urais.
“Tamko
hili ni la vyuo vikuu vyote vya Mwanza, sauti zetu ni za busara kwa
sababu zinataka kuikomboa nchi yetu kwa miaka 10 ijayo, tunayo imani
kubwa na Lowassa katika hatma ya nchi hususan elimu kwa watu wote,” alisema na kuongeza:
“Hatma
ya nchi hii ipo mikononi mwako na sisi wanavyuo hatuwezi kusubiri kuona
tunakosa kiongozi atakayelisaidia Taifa kwa kuzibwa midomo, tupo tayari
kufa ili uwe rais uokoe watakaobaki na Tanzania.”
Waziri
Mkuu wa Serikali ya wanafunzi SAUT, Christopher Mkodo, alisema Chama
Cha Mapinduzi (CCM) kisijaribu kukata jina la Lowassa kwani Tanzania
bila kiongozi huyo Watanzania watakuwa wamenyimwa fursa ya kupata
maendeleo ndani ya miaka 10.
Waliitaka CCM kusikiliza maoni ya wanachama wake vinginevyo chama kitaharibika.
Mwakilishi
wa CBE, Paul Dotto, alisema Lowassa ni chaguo la wanafunzi wa vyuo
vikuu na wana imani ataifikisha Tanzania katika uchumi wa kati kabla ya
malengo yaliyowekwa na Serikali.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Popular Posts
-
Iko hivi yani, Nimekua siwezi kujizuia hata kwa mwezi tu mmoja bila kutiwa na mwanaume yani mwanaume wangu, ikitokea nimeachana na ...
-
Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujeng...
-
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zil...
-
Wengine wanapenda sana wanawake wenye kina kirefu na wenginewenye kina kifupi. Hata hivyo, machaguo hayo huendana na urefu wa uume wa...
-
Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe ye...
-
Basi kichwa cha mboo kikiwa juu ya kisimi chake alizidi kuhema kwa nguvu na mi bila huruma niliendelea kumsugua kisimi kwa kichwa cha mb...
-
Wakati wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mt...
0 comments:
Post a Comment