Sunday, 5 April 2015
On 19:25 by Unknown in HABARI No comments
Katika maadhimisho ya ibada ya
sikukuu ya Pasaka, baada ya mateso,kifo na ufufuko wa Yesu Kristo,Baba
Mtakatifu Francis amewaombea wanafunzi waliouawa nchini Kenya mwishoni
mwa wiki iliyopita.
Katika utaratibu wake wa kawaida wa kutoa
ujumbe katika sikukuu ya pasaka,akizungumza na umati wa waumini
waliofurika katika viwanja vya Basilica ya Mtakatifu Peter mjini
Vatican, Papa ametoa mwito wa kusitisha kile alichokiita matukio mengi
ya mateso ya wakristo ulimwenguni.
Kiongozi huyo wa kiroho
anayeongoza waumini wa madhehebu ya kikatoliki wapatao bilioni moja
nukta mbili ,amelaani mgogoro unaondelea Mashariki ya kati na
kwingineko, lakini ameweka imani yake katika mazungumzo yanayoendelea
juu ya mkataba wa vinu vya nyukilia vya Irani ,wenye mwanga wa matumaini
wa kufikiwa makubaliano na kuifanya dunia kuwa mahali salama pa kuishi.
Kabla
ya kuanza hotuba yake,Papa alikwenda katika viwanja hivyo vya Basilica
la Mtakatifu Petro kuwasalimia waumini waliokuwa wakimsubiri pamoja na
kwamba kulikuwa na hali mbaya ya hewa.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Popular Posts
-
Iko hivi yani, Nimekua siwezi kujizuia hata kwa mwezi tu mmoja bila kutiwa na mwanaume yani mwanaume wangu, ikitokea nimeachana na ...
-
Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujeng...
-
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zil...
-
Wengine wanapenda sana wanawake wenye kina kirefu na wenginewenye kina kifupi. Hata hivyo, machaguo hayo huendana na urefu wa uume wa...
-
Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe ye...
-
Basi kichwa cha mboo kikiwa juu ya kisimi chake alizidi kuhema kwa nguvu na mi bila huruma niliendelea kumsugua kisimi kwa kichwa cha mb...
-
Wakati wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mt...
0 comments:
Post a Comment