Saturday, 4 April 2015
On 03:14 by Unknown in HABARI No comments
Majaliwa
ya kesi inayomkabili Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Nchini ,
Shehe Ponda Issa Ponda, ambayo ipo kwenye hatua ya utetezi itapatikana
miezi mitatu ijayo.
Hiyo
inatokana na hakimu anayesikiliza kesi hiyo Hakimu Mwandamizi wa
Mahakama hiyo, Mary Moyo kuanza rasmi likizo ya uzazi ya miezi mitatu
na hivyo Hakimu Mfawidhi wa wilaya ya Morogoro Maua Hamduni kuiahirisha
hadi Aprili 16, mwaka huu ambapo itatajwa tena mahakamani hapo.
Mtuhumiwa
alifikishwa mahakamani hapo pasipo mawakili wake wa utetezi , ambapo
kwa jana upande wa mashtaka uliongozwa na Wakili wa Serikali, Sunday
Hyera.
Kabla
ya kuanza kutoa maelezo ya kuahirishwa kwa kesi, Hakimu huyo
alimuuliza Shehe Ponda juu ya kutoonekana kwa mawakili wake mahakamani
hapo na endapo anazo taarifa zao , naye alijibu kuwa hakuwa na taarifa
zao.
Kesi
hiyo kwa sasa ipo katika hatua ya upande wa mashtaka kujibu hoja
zilizotolewa na upande wa utetezi baada ya kufungwa kwa ushahidi ambazo
zilidai kuwa Shehe Ponda hakuwa na kesi ya kujibu.
Kutokana
na hatua ilipofikiwa , Hakimu huyo, alisema pamoja na Hakimu Moyo
anayeisikiliza kesi hiyo tangu mwanzo kuwa katika mapumziko ya likizo ya
uzazi ya miezi mitatu, kisheria haiwezekani shauri hilo ikabadilishiwa
hakimu mwingine bali itaendelezwa naye baada ya kumaliza likizo ya
uzazi.
Kwa
mujibu wa Hakimu huyo, kwa hivi sasa kesi ya Shehe Ponda itaendelea
kutajwa mahakamani hapo hadi hakimu wake atakapoanza kazi baada ya
kumaliza likizo hiyo .
Kufuatia
maamuzi ya hakimu huyo, Shehe Ponda alinyosha kidole mbele ya hakimu
huyo na kupewa nafasi ya kuzungumza ambapo alimwambia hakimu kuwa kwa
vile kesi yake itakuwa ikitajwa pekee, anaomba siku ya kufikishwa
mahakamani abakie magereza ili kuondoa usumbufu.
Shehe
Ponda alidai kuwa, ingekuwa ni jambo nzuri siku ya kutajwa kwa kesi
yake iitwe fomu yake na kugongwa muhuri wa Mahakama , wakati akiwa
gerezani .
Hata
hivyo hakimu huyo alimjibu Shehe Ponda kuwa, kisheria njia hiyo
hairuhusiwi , kwani kinachozingatiwa ni kwa mtuhumiwa kufikishwa
mahakamani na hakimu kumwona kwa macho yake na kuiahirisha kwa msingi
huo na si vinginevyo.
Hakimu
huyo alimuuliza Sheikh Ponda kuwa yeye haoni kuwa ni fursa kuja uraiani
kuonana na kusalimiana na ndugu zake na kujibiwa na Sheikh Ponda kuwa,
yeye amezoea kukaa gerezani hivyo haoni sababu hizo.
Tofauti
na siku nyingine inaposikilizwa kesi hiyo ambapo wafuasi wake hufurika
nje ya uzio wa mahakama hiyo , jana, walijitokeza wachache hawakuzidi
watu 10 ambao hawakuweza kufanya jambo lolote la kusoma Quraan na
kufanya maombi .
Shekhe
Ponda alifunguliwa kesi namba 128/2013 katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
mkoa wa Morogoro akikabiliwa na mashtaka matatu ambayo aliyatenda
Augosti 10, mwaka 2013 katika eneo la Kiwanja cha Ndege Manispaa ya
Morogoro na alifikishwa mahakamani hapo kwa mara ya kwanza Agosti 19
mwaka 2013.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Popular Posts
-
Iko hivi yani, Nimekua siwezi kujizuia hata kwa mwezi tu mmoja bila kutiwa na mwanaume yani mwanaume wangu, ikitokea nimeachana na ...
-
Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujeng...
-
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zil...
-
Wengine wanapenda sana wanawake wenye kina kirefu na wenginewenye kina kifupi. Hata hivyo, machaguo hayo huendana na urefu wa uume wa...
-
Basi kichwa cha mboo kikiwa juu ya kisimi chake alizidi kuhema kwa nguvu na mi bila huruma niliendelea kumsugua kisimi kwa kichwa cha mb...
-
Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe ye...
-
Wakati wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mt...
0 comments:
Post a Comment