Saturday, 4 April 2015
On 03:05 by Unknown in HABARI No comments
Wanawake wa mjini wanasema makubwa, madogo yana nafuu! Msemo huo
unakwenda sambamba na tukio la hivi karibuni la mwanamke mmoja
aliyetajwa kwa jina la Rukia Mabeseni mkazi wa Kigogo jijini Dar kukodi
ngoma ya kibao kata kwa lengo la kwenda kumsuta shoga yake aitwaye mama
Mariam.
Rukia Mabeseni akimsuta shoga yake pamoja na wenzie.
“Shost wangu, huyu mama Mariam huyu aliwahi kumzawadia mwanangu baiskeli katika sherehe yake ya kuzaliwa, nikashukuru na nikajua shoga ninaye.“Cha ajabu juzijuzi hapa alikuwa na sherehe yake, bahati mbaya mimi sikuwa kwenye hali nzuri, nikampelekea zawadi ndogo, hee! Kumbe mwenzangu hajaridhika.
“Si akaanza kunisema vibaya kwa watu, eti
kama hali yangu ilikuwa mbaya kwa nini sikusema mapema badala ya
kumpelekea matambara, kwa kweli iliniuma sana.“Ndiyo nimeamua
kumrudishia zawadi yake ya baiskeli kwa staili hii ili aweke kumbukumbu
kuwa alichonifanyia si kitu kizuri,” alisema Rukia.
Wakizidi kumsuta.
Hata hivyo, baada ya Rukia kusikia kuwa wameenda kushitakiwa, walirudi tena ambapo safari hii mama Mariam alikubali yaishe kwa kuomba msamaha. “Ameomba msamaha na amefuta kesi kwa sababu alisema kuwa alighafirika tu, hata hivyo alinipigia simu na kuniambia anaumwa anaomba tuongee yaishe ikibidi tukamuone tumalize tofauti zetu,” alisema Rukia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Popular Posts
-
Iko hivi yani, Nimekua siwezi kujizuia hata kwa mwezi tu mmoja bila kutiwa na mwanaume yani mwanaume wangu, ikitokea nimeachana na ...
-
Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujeng...
-
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zil...
-
Wengine wanapenda sana wanawake wenye kina kirefu na wenginewenye kina kifupi. Hata hivyo, machaguo hayo huendana na urefu wa uume wa...
-
Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe ye...
-
Basi kichwa cha mboo kikiwa juu ya kisimi chake alizidi kuhema kwa nguvu na mi bila huruma niliendelea kumsugua kisimi kwa kichwa cha mb...
-
Wakati wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mt...
0 comments:
Post a Comment