AdSense

Sunday, 22 March 2015

On 08:48 by Unknown in    No comments
 
Baada  ya  kuzinguliwa  kwa  muda  mrefu  na  chama  chake  cha  CHADEMA, aliyekuwa Mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Ruyagwa Kabwe sasa ameamua  kujiunga  rasmi  na  chama  kipya  cha  siasa  cha  ACT-Tanzania   ambapo  jana Jumamosi ya Machi 21  alipokelewa rasmi na chama hicho na kukabidhiwa kadi yake yenye namba 007194.
 
Hatua  imekuja  ikiwa  ni  siku moja  tu  baada ya Zitto kutangaza kuachia ubunge na kuandika barua rasmi ambapo sasa amekuwa mwanachama wa ACT-Tanzania 




0 comments:

Post a Comment