Tuesday, 31 March 2015
On 20:47 by Unknown in MAPENZI No comments
Mimi
ni mama wa watoto 3,ninaishi hapa Dar es salaam.nimejitokeza kuomba
ushauri kwa tatizo nililonalo,nimedumu kwenye ndoa na mume wangu kwa
takribani miaka tisa sasa,mume ni engeneer.Wiki iliyopita nilisafir
kwenda mkoani
kwetu,lakini siku niliporudi nilirudi usiku sana na sikutaka kumsumbua
mume wangu kuja kunipokea na wala sikumwambia kama narudi ili iwe
"suprise" kwake,nilifika nyumbani na nikaenda moja kwa moja dirishani
kwetu ili nimgongee lakini cha ajabu nilisikia sauti na miguno ya
kimapenzi inatoka humo chumbani,kwanza niliishiwa nguvu lkn nilijikaza
na kwenda kumgongea binti yetu mdogo ambaye alinifungulia,nilipoingia
ndipo nilipoenda kufungua mlango wa chumbani kwetu ambao
haukufungwa,nilichokikuta humo ni mume wangu alikuwa akifanya mapenzi na
mwanamke mwingine,cha ajabu na kusikitisha ni kuwa mimi na yeye tuna
mwaka mzima hatujakutana kimwili kwa sababu huwa analalamika kuumwa na
kukosa nguvu za kufanya mapenzi nami nilimvumilia kama mume wangu.baada
ya kuona uchafu alioufanya ananiomba msamaha na kudai eti yule mwanamke
huwa anampa kinyume na maumbile hivyo ni kweli alichanganyikiwa juu
yake...kwa kweli nimechoka na sijui cha kufanya na kubwa zaidi yule
mwanamke inasemekana amehathirika...naomba ushauri wapendwa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Popular Posts
-
Iko hivi yani, Nimekua siwezi kujizuia hata kwa mwezi tu mmoja bila kutiwa na mwanaume yani mwanaume wangu, ikitokea nimeachana na ...
-
Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujeng...
-
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zil...
-
Wengine wanapenda sana wanawake wenye kina kirefu na wenginewenye kina kifupi. Hata hivyo, machaguo hayo huendana na urefu wa uume wa...
-
Basi kichwa cha mboo kikiwa juu ya kisimi chake alizidi kuhema kwa nguvu na mi bila huruma niliendelea kumsugua kisimi kwa kichwa cha mb...
-
Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe ye...
-
Wakati wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mt...
0 comments:
Post a Comment