AdSense

Saturday, 21 March 2015

On 05:16 by Unknown in    No comments
 
Sipati picha kama kuna mwanamke wa kizungu ambaye ataweza olewa na kwenda shamba  na mume wake  kupalilia mahindi kama wanawake wa kiafrika wanavyo fanaya? je ataweza kweli kupinda mgongo na kuchimba udongo kutengeneza matuta au kpalilia mahindi ?? Ntafurahi kumowana kama yupo wa namna hii

0 comments:

Post a Comment