AdSense

Saturday, 21 March 2015

On 04:59 by Unknown in    No comments
 
Aisee asikwambie mtu, mi ni mroho wa shape za kibantu zilizojaaliwa kalio la kutosha kumtoa nyoka pangoni. Sikosi kugeuka nikiona sampuli ya hivyo ikipita nasindikiza kwa macho hadi anakoishia ama kumfuata na kufanya application kabisa.
Juzi kati nimefanikiwa kunasa mdada mmoja mwenye vigezo kama hivyo ni nikafanikiwa kupiga naye show ya kikubwa kunako 6x6. Aisee ni mtamu ile mbayaaaa.

Baada ya kukolea nami akataka kujenga uhusiano wa kudumu japo hata kwa mchepuko ama nyumba ndogo! Kwa jinsi hata mi nilivyokolea kwake nikamkubalia.

Kitakachofanya nimuache pamoja na vigezo vyake vizuri, ni kwamba ana majini na kaniambia yeye mwenyewe , kanitajia idadi na majina ya hayo majini hadi nikaogopa.

Yaani hapo nawaza hivi siku yakicharuka hayo madude yake japo sijui huwa yanafanyaje, si itakuwa balaa.

Aisee kwa kweli naachia ngazi huku bado nalitamani hilo dada la kibantu lilioumbika vizuri, 
limeenea kila idara.

0 comments:

Post a Comment