AdSense

Friday, 20 March 2015

On 19:25 by Unknown in    No comments
 
ishazaliwa mwanamke ujue kutongozwa ni lazima. Hakuna mwanamke asiyetongozwa.
Kinachonishangaza ni baadhi ya wanawake kutoa majibu ya matusi pindi wanapotongozwa , mtu anakupa jibu ambalo linakufanya mtu unahamu ya kutongoza tena , una loose confidence kabisa na kujiona kama kinyesi hivi mwanamke anakujibu kwa dharau wewe huna hadhi ya kutembea na mimi , umeingia choo cha kike kaka hii si saizi yako, unanionaje kwanza wee kikaragosi, na wewe unajiita mwanaume . Majibu kama hayo na mengine mengi tu ya kuuzi mmekuwa mkitupatia , si vizuri kabisa . Mwanamke unakuwa mkali kama simba , hata simba jike mwenyewe pamoja na ukali wake lakini bado anapandwa na simba dume na anazaa sembuse binadamu. Vitu vyenyewe tumepewa bure hakuna mtu anayevilipia kodi kwa nini tutukanane matusi ya kudhalilishana, mtu unamtongoza anakuambia oooh unanidhalilisha , aliyekuambia kutongozana au kugegedana ni kudhalilishana ni nani.ndiyo maana wengine wanaamua kupiga tu punyeto ili kuepukana na dhahama kama hii . Hii sio poa kabisa kama hutaki si unamjibu tu kistaarabu sijisikii kuwa na wewe, au mnataka tutoe darasa la jinsi ya kumkatalia mwanaume kistaarabu anapokutongoza. Sio poa kabisa dada zetu. Yamenikuta mwenzenu jana na baada ya kuwasimulia rafiki zangu kwamba kuna demu kaniharibia mood kabisa ya xmass leo , wakanijibu hata wao huwa yanawakuta  hayohayo.Siyo vizuri kuharibiana mood jamani

0 comments:

Post a Comment