AdSense

Sunday, 22 March 2015

On 09:37 by Unknown in    No comments

Kwa Mujibu wa utafiti uliofanyika hivi karibu katika chuo kikuuu cha London imefahamika kwamba wanawake wengi wenye makalio makubwa yani wale wenye shape na muonekano wa kuvutia hawajui mapenzi kabisa, wanasaikolojia wameongezea kuwa wanawake hao hujigamba na maumbile yao hata kufikia kujiamini kupita kiasi hata kutoonyesha utundu wapo wanapokuwa mahabani, wengi wao wamejikuta wakiachika mara kwa mara hatakutotulia na mpenzi mmoja kwani mtu anavutiwa tu anapomuona ila baada tu ya kipindi fulani  hukinahiwa.

0 comments:

Post a Comment