Sunday, 29 March 2015
On 19:38 by Unknown in WASANII No comments
Lile sakata la mtoto kuwa si wa Mbongo Fleva, Emmanuel Elibariki ‘Nay wa
Mitego’ kwa mujibu wa madai yaliyotolewa na mzazi mwenzake, Siwema
limeingia hatua nyingine baada ya ofisi ya mkemia mkuu wa serikali
kusema majibu kamili ya kipimo cha vinasaba ‘DNA’ yatatolewa Aprili 8,
mwaka huu.
Akizungumza na Risasi Jumamosi juzi jijini Dar, Nay alisema kila kitu
kimekwenda sawa, hivyo anachosubiri ni hayo majibu ili ajue moja kwamba
mtoto huyo mwenye miezi mitatu ni wa nani kati yake yeye na mwanaume
aliyetajwa na Siwema mwenyewe.
“Ndiyo natoka sasa kwenye ofisi ya mkemia. Hukumu ya DNA ile ni baada
ya wiki mbili kuanzia leo (juzi Alhamisi). Lakini we acha tu. Mh!
Nimeshafanya kila kitu, ni wao tu,” alisema Nay.
Aliongeza: “Ila mimi nashangaa. Yule mkemia aliyenipima, kaniambia,
‘Nay hukuwa na haja ya kupima DNA, mbona kwa uzoefu wetu hapa
ukimwangalia mtoto anaonekana ni wako, ila kwa sababu umeamua kupima
mwenyewe sawa.
“Nimeamua hivi ili mtoto aje kuwa na amani ukubwani, maana ujue
atakapokua atakumbana na madai ya mama yake kwenye mitandao, sasa ni
bora aje ajue ufumbuzi ulipatikanaje. Kama baba ni mimi au yule mzee
anayemsema Siwema atajua.”
Mwandishi: “Hivi Nay, ikithibitika mtoto si wako utafanya nini?”
Nay: “Namrudisha kwa mama yake maana mimi nitakuwa baba haramu.”
Nay alisema siku ya kupima damu, alikwenda yeye na mtoto huyo ambapo
walitumia dakika saba kutolewa damu kwa wote wawili. Bado mtoto huyo
anaishi naye nyumbani kwake, Kimara, Dar.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Popular Posts
-
Iko hivi yani, Nimekua siwezi kujizuia hata kwa mwezi tu mmoja bila kutiwa na mwanaume yani mwanaume wangu, ikitokea nimeachana na ...
-
Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujeng...
-
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zil...
-
Wengine wanapenda sana wanawake wenye kina kirefu na wenginewenye kina kifupi. Hata hivyo, machaguo hayo huendana na urefu wa uume wa...
-
Basi kichwa cha mboo kikiwa juu ya kisimi chake alizidi kuhema kwa nguvu na mi bila huruma niliendelea kumsugua kisimi kwa kichwa cha mb...
-
Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe ye...
-
Wakati wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mt...
0 comments:
Post a Comment