Sunday, 22 March 2015
On 08:56 by Unknown in HABARI No comments
Makundi
ya vijana wanaosadikiwa kuwa ni wa jamii ya kimaasai maarufu kama
“Morani” katika eneo la Olasiti Jijini Arusha, wameteketeza kwa moto
mali mbalimbali zikiwemo nyumba pamoja na magari ya wakazi wawili wa
eneo hilo, wanaotuhumiwa kumpiga na kumsababishia kifo kijana mmoja wa
jamii hiyo.
Kijana
Melita John anadaiwa kuuawa na Bernard Kavishe mkazi wa Olasiti
akishirikiana na majirani zake wawili akimtuhumu kijana huyo kuwa ana
uhusiano wa kimapenzi na msichana wake wa kazi za ndani ambaye ni binti
wa miaka 17 anayefahamika kwa jina la Monica Emanuel.
Taarifa
zaidi zinadai kuwa hatua ya morani wa kimaasai kujichukulia sheria
mkononi na kuteketeza nyumba na magari pamoja na mali nyingine za
watuhumiwa hao ni katika kulipiza kisasi kutokana na kifo cha mwenzao
wanayedai hakuwa na hatia.
Inadaiwa
mtuhumiwa wa kwanza wa mauaji hayo Benard Kavishe baada ya kuwasili
nyumbani kwake majira ya saa saba mchana na kugonga gate la nyumbani
kwake ilimchukua muda wa dakika kumi msichana wake wa kazi kufungua
ndipo alipoingia ndani na kumkuta kijana Melita akiwa bila nguo ndipo
alipowaita majirani wenzake na kumshambulia kwa kipigo hadi
kumsababishia mauti
Jeshi
la Polisi kupitia wa Kaimu kamanda wa Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi
Edward Balele akithibitisha tukio hilo amesema baada ya watuhumiwa
wanaosadikiwa kushiriki katika mauaji ya kijana Melita wanashikiliwa kwa
mahojiano zaidi..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Popular Posts
-
Iko hivi yani, Nimekua siwezi kujizuia hata kwa mwezi tu mmoja bila kutiwa na mwanaume yani mwanaume wangu, ikitokea nimeachana na ...
-
Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujeng...
-
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zil...
-
Wengine wanapenda sana wanawake wenye kina kirefu na wenginewenye kina kifupi. Hata hivyo, machaguo hayo huendana na urefu wa uume wa...
-
Basi kichwa cha mboo kikiwa juu ya kisimi chake alizidi kuhema kwa nguvu na mi bila huruma niliendelea kumsugua kisimi kwa kichwa cha mb...
-
Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe ye...
-
Wakati wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mt...
0 comments:
Post a Comment