AdSense

Saturday, 21 March 2015

On 04:39 by Unknown in    No comments
 
Kwa wale nitakaowakwaza naomba mniwie radhi lkn kiukweli hata mimi hainipendezi kuyasema haya ila ni vema tu niwaeleze dada zangu kwasababu ukweli unaoumiza ni bora kuliko uongo unaofurahisha.
Hakuna mwanaume lijali anayeweza kuwa na mwanamke mmoja, eidha awe ameoa au hata kama hajaoa. Hakuna mwanaume wa aina hiyo kwa karne hii, usijidanganye kukimbilia kwenye ndoa ukiamini kwamba baada ya kuolewa utajimilikisha huyo mwanaume aliyekuoa, never!

"Mchele mmoja mapishi mbalimbali", utakuta ww mwanamke kila siku ukikutana na jamaa yako faragha lzm yeye ndio aombe kamchezo, wkt kuna sehemu akienda mwanamke mwenzako ndio anaandaa mazingira ya kuomba kamchezo kutoka kwa jamaa, now u see the difference?

Au mara zote mkitoka lazima wewe ndio uwe ume suggest mtoke tena yeye ndio ana pay bills, wkt kuna mwanamke mwenzio somewhere ingawa sio mara zote, ila mara chache chache yeye ndio anamuomba jamaa watoke na ndio ana pay bills, umeona?

Humshauri jamaa hata kununua an asset, wewe ni kuvaa na kujirusha wkt kuna mwanamke mwenzako kashatafuta kiwanja kwa siri huku mkononi ana angalau robo amount ya gharama nzima ya kiwanja, upo hapo?

Kwa mliooana, mumeo karudi home, hata kabla hujampokea ni makelele mtindo mmoja, unaleta mere allegations kwamba anakusaliti wkt hujathibitisha, yani mawivu yako tu yanakuwehusha, wkt kuna mwanamke mwenzio jamaa akienda kwake anapokelewa kwa utulivu, anaenda kuogeshwa tena kwa maji yenye iriki, anakula chakula tena kile anachokipenda, anakandwa apunguze uchovu then anapumzishwa, unaona hapo?

Dada zangu yani hakuna mwanaume anayeweza kuwa na mwanamke mmoja coz hawezi kuwa na vyote ambavyo wanaume tunavihitaji. Sihubiri michepuko iendelee ila hiyo ndio hali halisi, angalau mjitahidi kuwa mnasoma alama za nyakati ili angalau apunguze michepuko ila sio  aache kabisa.

0 comments:

Post a Comment