Saturday, 21 March 2015
On 05:48 by Unknown in MAPENZI No comments
Nina
mke na watoto 3 wote tunafanya kazi. Tulipozaa mtoto wa pili wife
alianza kupunguza umuhimu wa tendo la ndoa sijua ni kwa kuzoea au
kuchoka.
Tumewekana vikao vyetu binafsi ili kila mmoja abainishe ni vichocheo gani vinakosekana ili tuviongeze kuboresha mchezo. Wote siyo walevi na tuko karibu kifamilia. Ukifuatilia labda mkeo ana mtu hupewi taarifa zozote mbaya. Sasa tatizo ni kitu gani hatujui. Ukimwuliza naye anakwambia mume wangu nivumilie nitajitahidi ila baada ya mwezi anarudi kule kule. Usipochombeza anaweza kupitiliza hata mwezi bila kukumbushia huku tukiendelea kuheshimiana kwa sana na concord na upendo ukitawala katika nyumba.
Hali hii imenisumbua kwa muda karibu 7 being na ili kuepuka kugombana na kuepuka kwenda nje kupata UKIMWI basi nikaamua nimweleze binti ambaye anatusaidia kazi home na akaonyesha kunisikitikia kwani mi si mtu wa baa useme ningetafuta huko na pia naogopa UKIMWI. Binti akasema anaweza ku handle hiyo situation kwa masharti kwamba ataendelea kuniheshimu mimi pamoja na wife ili chochote kisishtukiwe.
Kwa mtazamo wangu hata kama mtaniona blind ni kwamba huyu binti anatumika ku rescue hii situation la sivyo ningekwenda huko na huko kutafuta viruka njia ambao wangeniweka mahali pabaya zaidi. Tumeanza mahusiano vizuri na tunaendelea kiasi kwamba hata wife asipokuwa tayari mwezi mzima sipati shida na hii imenisaidia kuepuka ugomvi uliokuwa unatokana na tendo la ndoa kutokuwa zuri. Cha ajabu hata kama mchezo tusipofanya na wife mwezi anaona mambo iko sawa maisha yanaendelea ni kucheka na kufurahi bila kujiuliza huyu mume anaishije?
Je wadau katika situation kama hiyo ambayo mke ana behave namna hii kwa ninachokifanya nimekosea au niko sawa. Kama unafikiri nimekosea nipe ushauri kuhusu njia mbadala na jiweke kwenye position yangu.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Popular Posts
-
Iko hivi yani, Nimekua siwezi kujizuia hata kwa mwezi tu mmoja bila kutiwa na mwanaume yani mwanaume wangu, ikitokea nimeachana na ...
-
Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujeng...
-
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zil...
-
Wengine wanapenda sana wanawake wenye kina kirefu na wenginewenye kina kifupi. Hata hivyo, machaguo hayo huendana na urefu wa uume wa...
-
Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe ye...
-
Basi kichwa cha mboo kikiwa juu ya kisimi chake alizidi kuhema kwa nguvu na mi bila huruma niliendelea kumsugua kisimi kwa kichwa cha mb...
-
Wakati wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mt...
0 comments:
Post a Comment