Sunday, 22 March 2015
On 09:27 by Unknown in MAPENZI No comments
Miaka iyo yote ya mahusiano, kuna
msichana ambaye huyo bwana alikuwa anatembea naye japo huyo bwana
alikuwa anakana, tena wakati mwingine ananipigia Simu analia nimuombee
msamaha kwa Dada yangu, wanamsingizia sio kweli. Basi na mimi namwamini
nambembeleza Dada yangu wanasameheana mapenzi yanaendelea.
Sasa hiki kipindi cha sikukuu, akamwambie Dada yangu waende mkoa fulani(sitautaja) wakapumzike sababu wote wapo likizo. Yule bwana katangulia kule Dada naye kafatia, bwana kampokea vizuri hadi hotelini.
Kumbe yule bwana pale hotelini kachukua vyumba viwili( vimefuatana), kimoja kamuweka yule mwanamke ambaye alidai anasingiziwa, kingine kamuweka mke mtarajiwa( Dada yangu) pasipo wao kujua.
Mapumziko yakaisha kila mtu akarudi mkoani kwake, sasa yule mwanamke mwingine kajua ukweli ikabidi amtafute Dadayangu amwambie ukweli, na mbaya zaidi ana ujauzito wa miezi 4. Huyo mdada anadai mwanaume alimwambia wameachana na Dada yangu ndiomana yupo na yeye, na haelewi chochote Kama hata watu wameanza vikao na harusi ipo karibuni.
Imebidi amwambie mama mkwe wake, mama kampigia mwanae lakini bado anakataa sio kweli, hadi picha katumiwa alizopiga na yule mwanamke anadai zimeeditiwa sio yeye, imebidi mama mtu ampigie muhusika yaani huyo mdada, huyo mdada kakiri kweli na kweli mjamzito.
Wazazi wa mwanaume wamesema hawatambui hilo, binti azae mtoto atachukuliwa, na mipango ya harusi inaendelea, kachanganyikiwa hajui aamue nini, fahamu zinarudi na kupotea tu.

Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Search
Popular Posts
-
Iko hivi yani, Nimekua siwezi kujizuia hata kwa mwezi tu mmoja bila kutiwa na mwanaume yani mwanaume wangu, ikitokea nimeachana na ...
-
Jenga tabia ya kufanya mazoezi ya mwili: Mwili wenye afya nzuri daima hufanya kazi vizuri, kwahiyo kitu rahisi cha kufanya ni kujeng...
-
Mke wangu siku hizi mapenzi sijui niseme yameongezeka au sijui niseme ana nikomoa nasema hivi kwa sababu ndani ya wiki kama mbili zil...
-
Wengine wanapenda sana wanawake wenye kina kirefu na wenginewenye kina kifupi. Hata hivyo, machaguo hayo huendana na urefu wa uume wa...
-
Basi kichwa cha mboo kikiwa juu ya kisimi chake alizidi kuhema kwa nguvu na mi bila huruma niliendelea kumsugua kisimi kwa kichwa cha mb...
-
Wakati wakazi wengi wa Jiji la Dar es Salaam wakiwa katika harakati za kusherehekea Sikukuu ya Pasaka, dada mmoja ambaye ni mke wa mt...
-
Baada ya kukosa kazi katika sehemu za mambo ya massage kutokana umbile kubwa alilonalo hatimaye mwanamama huyu aja na mbinu kabambe ye...
0 comments:
Post a Comment