Tuesday, 31 March 2015
On 20:33 by Unknown in MAPENZI No comments

Uchunguzi
wa muda mrefu umefanyika kwamba Sehemu nyingi za biashara zenye
wasichana warembo hufanya vizuri, Ikiwemo bar, boutique za kuuzia nguo,
maduka mengine pia. Uchunguzi huu pia umethibitisha kuwa sehemu hizo
huonekama pia kuwa na mvuto hata kupelekea kupata wateja wengi. Ndio
maana hata Makampuni pia ukifika reception lazima ukutane na warembo
watakao kupokea vizuri hata kujisikia uko nyumbani, Je wewe mtazamo wako
ukoje juu ya hili..!!?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment