Monday, 30 March 2015
On 14:00 by Unknown in MAPENZI No comments
Admin hide my name , mimi ni kijana wa
kitanzania nina mke na mtoto mmoja kwa muda wa miaka miliwili sasa
nimekuwa nikisoma UK Deree yangu ya pili , kwa sasa nimemaliza nimerudi
Tanzania , sasa cha
ajabu ambacho sikielewi ni kuwa kila nikikutana na mke wangu anataka
nimwingilie kinyume na maumbile..yaani now and again anaipeleka mwenyewe
huko sehemu kwa siku kama
mbili nimekuwa nafanya bila kujua imeingia huko…sasa nimejua
nimemkalisha kikao lakini haeleweka hajanipa jibu la maana paka
sasa…nahisi wakati mimi nipo uk kuna mtu alikuwa anamchezea sasa imekuwa
hawezi sikia raha mpaka afanye hivyo ..mimi ninajua madhara ya huo
mchezo siwezi kabisa kufanya kwa mke wangu …swali linakuja hapa sasa
nisipomfanyia ina maana ataendelea na hao jamaa zake wanao mfanyia …sasa
sijui nifanyaje …naomba ushauri wa kina hapa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment